Nimebadlilisha ID

Nimebadlilisha ID

Esperance

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
364
Reaction score
84
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.
 
Nimelipenda hili zaidi...hongera na asante kwa taarifa!!!
 
Wapendwa Nazjaz na Inkoskaz mmenichekesha sana , jion imekuwa nzuri.
 
kibiritingoma uliona lina spiritual effects?natanguliza pongezi with empty hands
 
Hongera mwaya...mwenyewe nilifikiria kubadili langu nikaahirisha!
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

ni vyema kutujulisha, kuna wengine wanabadilisha kimya kimya hatuwaoni tena wao wanatuona, kama vile bubu msemahovyo jamani alibadili jina au alikumbwa na Tsunami??
 
Wapendwa wana JF na MMU napenda kuwajulisha nimebadilisha ID kutoka KIBIRITINGOMA to ESPERANCE. Nawapenda sana MMU idumu.

Umebadilisha vp mana nilishajaribu kuongezia sam singi kwenye hili langu nikachemka.
 
mwajuma anataka aitwe mwa jei
hahaha! ni vizuri sana, vipi tumbo hilo litakuwa level lini? nna zawadi hapa tujulishane mdaukishafika
 
Hongera mwaya, tunasubiria kibebi chetu sijui utakiita Jf. Hahahaaa. Thanx kwa taarifa
 
Back
Top Bottom