Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kwani Ina wauma???
Mtaani huku nashangaa wamefuta Uzi wangu wa kujisifiaUmepata wapi mkuu
Bikira yako utapunguza deni la Taifa kinalofika 789 Trillion
Shida Nini?? Wewe inakuuma Nini vipi uliuziwa mbuzi kwa guniandio mimi kama moderator wakujitolea imenikwaza!
Hhhhhhh itakuwa ndio maanaMods hawana bikra 🤣
Hapana bikra zipo enzi na enzi inakuwaje inawaumaNi.mpango wa moderators kuwabana mbupu watoto wa 2000 kuja na thread za kielfu 2
Shida ni vile aliwaaminisha Kuna picha za bikra kumbe ni picha za message 🤣🤣🤣ndio mimi kama moderator wakujitolea imenikwaza!
Umeona eeh wamezingua sana, Uzi ule ungefika hata 40kShida ni vile aliwaaminisha Kuna picha za bikra kumbe ni picha za message 🤣🤣🤣
Ila wamezingua sana😁😁😁
Hapana nimeona sealed ikabidi nitoe machoziUnatapeliwa mdogo angu
Kama ungeeka na mbinu za kupata bikra mbona 40k ungeipitaUmeona eeh wamezingua sana, Uzi ule ungefika hata 40k
Mkuu nimeshuhudia Leo hiyo bikra hiyo sms Ina muda mrefu sana so ni kama final assistant evidenceUmepangwa ukapangika, bikra unaipima kwa sms, kijana unaendsshwa na nyapu.
Mbinu mbona zipo mkuuKama ungeeka na mbinu za kupata bikra mbona 40k ungeipita
Weka sasa watu watatue changamotoMbinu mbona zipo mkuu