Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na 99% kumuamini shetaniHabari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
So, tufanyeje?Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
We mzee hupunguzagi ukali wa maneno🥸Ume kosa tu uvumilivu na kujihesabia haki; Kila la heri kwenye safari yako ya kuchanganyikiwa na mwishowe kifo kisicho na matumaini!
Kitendo tu cha kuwa bado unapumua na huna panapokuuma amekusaidia pakubwa.Uko sawa mkuu.. Sometimes tunamwamini lakini anatuvunja moyo
Una maanisha niniUko sawa mkuu.. Sometimes tunamwamini lakini anatuvunja moyo
Nitamwamini MUNGU mpaka naingia kaburini. Nature imenipa chaguo la kumwamini MUNGU.Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Kumwamini Mungu lazima uwe na tamaa.Ili umwamini Mungu itakupasa usiwe na tamaa
Kumwamini Mungu lazima uwe na tamaa.
Mind you,Mungu hana hizi standards ni wewe unataka kuziweka!Inategemea Mungu wa upande gani wa dini.