Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Nimebaki na 1% ya kumuamini Mungu

Anakuchoma moto sababu ya kuishi nje ya amri alizotoa kwenye neno lake/ Biblia..

Ni mwingi wa huruma ukimrudia.. ila ukikaza fuvu ndio moto huo 🏃‍♀️🏃‍♀️
Yeye ndo kaniumba na hizi dhambi. Wa kulaumiwa ni yeye, otherwise aziondoe ndani mwangu.
 
Habari za jumapili members wa jamiiforums.

Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Swala la kumuamini Mungu au kutokumuamini ni lako wewe binadamu na halimuhusu Mungu,,,,yani hafaidiki kitu kwa kwa imani yako kwake au kutokumuamini.
 
Nakuunga mkono, majanga na mateso hapa duniani inathibitisha kuwa hakuna Mungu. Na kama yupo hana uwezo wa kutosha kwani shetani kamzidi kete.
 
Ndugu yangu usife moyo kabisa MUNGU yupo na anatenda na anafanya

Endelea kuvumilia ndugu yangu

Mimi hapa nilipo Sina hata kazi au biashara ya laki mbili lakin namwamini MUNGU MWENYEZI kwa njia ya YESU KRISTO MFALME WA WAFALME

Nimekuwa nikitafuta kila aina ya msaada wa kupata kazi au mtaji wa biashara lakin sijapata mpaka leo na siwezi kumwachwa YESU KRISTO
 
Back
Top Bottom