Mkuu naona umenielewa tofauti,,,bacteria kwa udogo wake ni ngumu kwake kudhibitisha uwepo wa binadamu,,,yeye anaweza kudhibitisha uwepo wa cells,virus labda na organ ambayo yeye inampatia mahitaji yake.
Mungu ni mkubwa kuliko solar system,,ni ngumu sana wewe kumuona na kumtambua kwa macho yako ya kibinadamu.
Ila sehemu ninayoweza kukubaliana na wewe ni hizi dini,,Nina mashaka kama haya maandiko yote ya dini ameyasema Mungu,,,,hizi habari za kumuomba na kumshukuru,,kuwepo na pepo na moto,,Nina mashaka juu ya haya,japo nami ni mfuasi wa dini.
Ila kuwepo kwake sina mashaka na hilo.