Nimebakiza Kujua Kurudisha Gari Nyuma Tuu


alafu nyumaaa....tumia side mirror kulenga vizuri
 
Unapoanza kujifunza reverse, anza pole pole, usilazimishe kurudi kwa nguvu utagongwa na utaumia, mwambie mwalimu wako aanze taratibu na nusu nusu mwisho utazoea.
 

Umkumbushe mwl jinsi ya kupata ajali akufundishe hio ndiyo stage ya mwisho!
 
Nimenunua gari, nataka nijifunzie kwenye gari yangu. Naangalia YouTube kisha nafanya practice. Niko sawa?
Inategemeana na uwezo wako wa grasp vitu.... hususan kutoka youtube kuja ktk reality
 
Huu uzi ni wa 2014, mleta uzi embu hitimisha kama umehitimu?
 
Mimi gari nilijifundisha mwenyewe.. Na nilivyokuwa mfupi, nilikuwa nabeba ma cushion sebuleni najaza kwenye kiti cha dereva hadi nagusa juu ya dari.. Ila nilikuwa vizuri kwa kuwa nilikuwa naiba gari na kulirudisha linapokaa bila mtu yeyote kushtukia kama gari imetoka kisha nachukua mfagio nafagia alama za matairi.
Kimbembe siku hiyo nimeiba gari alafu likaharibika.. Nilihangaika kulisukuma mpaka nyumbani kabla wazazi hawajatoka kanisani.
 
Mm nimenunua gari 2013 kwa mara ya kwanza,
 
ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…