Nimebakiza Kujua Kurudisha Gari Nyuma Tuu

Nimebakiza Kujua Kurudisha Gari Nyuma Tuu

wanajamii naomba mnipe hongera,

leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo:
  1. kuingiza na kubadili gear!
  2. kukanyaga mafuta!
  3. kunyoosha sterling kufuata bara bara!
  4. kukata kona
  5. kuwasha indicators
  6. kuwasha full

mwl wangu kanambia bado vitu vichache tu, ikiwemo kupiga honi na kurudisha gari nyuma, kasema kupiga honi ni issue ya siku 1 tu, ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!

Ahsante mwl

alafu nyumaaa....tumia side mirror kulenga vizuri
 
Unapoanza kujifunza reverse, anza pole pole, usilazimishe kurudi kwa nguvu utagongwa na utaumia, mwambie mwalimu wako aanze taratibu na nusu nusu mwisho utazoea.
 
WanaJAMII naomba mnipe hongera,

Leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo:
  1. kuingiza na kubadili gear!
  2. kukanyaga mafuta!
  3. kunyoosha sterling kufuata bara bara!
  4. kukata kona
  5. kuwasha indicators
  6. kuwasha full

Mwl wangu kanambia bado vitu vichache tu, ikiwemo kupiga honi na kurudisha gari nyuma, kasema kupiga honi ni issue ya siku 1 tu, ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!

Ahsante Mwl

Umkumbushe mwl jinsi ya kupata ajali akufundishe hio ndiyo stage ya mwisho!
 
Nimenunua gari, nataka nijifunzie kwenye gari yangu. Naangalia YouTube kisha nafanya practice. Niko sawa?
Inategemeana na uwezo wako wa grasp vitu.... hususan kutoka youtube kuja ktk reality
 
Mimi gari nilijifundisha mwenyewe.. Na nilivyokuwa mfupi, nilikuwa nabeba ma cushion sebuleni najaza kwenye kiti cha dereva hadi nagusa juu ya dari.. Ila nilikuwa vizuri kwa kuwa nilikuwa naiba gari na kulirudisha linapokaa bila mtu yeyote kushtukia kama gari imetoka kisha nachukua mfagio nafagia alama za matairi.
Kimbembe siku hiyo nimeiba gari alafu likaharibika.. Nilihangaika kulisukuma mpaka nyumbani kabla wazazi hawajatoka kanisani.
 
WanaJAMII naomba mnipe hongera,

Leo nimemaliza mafunzo ya kuendesha gari salama salimini, nimejifunza vitu vingi sana, ikiwemo:
  1. kuingiza na kubadili gear!
  2. kukanyaga mafuta!
  3. kunyoosha sterling kufuata bara bara!
  4. kukata kona
  5. kuwasha indicators
  6. kuwasha full

Mwl wangu kanambia bado vitu vichache tu, ikiwemo kupiga honi na kurudisha gari nyuma, kasema kupiga honi ni issue ya siku 1 tu, ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!

Ahsante Mwl
Mm nimenunua gari 2013 kwa mara ya kwanza,
 
ila kurudisha gari nyuma ndio kidogo kazi, natakiwa kuwa makini kwenye kulenga!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom