sipendi au sijazoea kuazima.
Niko comfortable na kitu changu.
Hilo ni mkweche!
Aksante kwa kutujuza kama unamiliki GARI.
Hata kama una gari, unaazima la mtu la nini? Afu kuna watu mjini wanaazimana hadi viatu na nguo! Tabia mbaya kweli! Afu ukute gari yako unapelekaga kwa wachina, akaitengeneze gongo la mboto ikirudi iko kama mgongo wa kobe!
Uswahili mzigo, kha!
Kuna rafiki yangu huwa ananiazima gari kwenda kwenye shughuli zake.
Lakini kama mwezi umepita gari ilikuwa haifungi boneti, nikamwambia hawezi kutembeza kwani boneti haifungi. Akaniambia haina tatizo atatengeza tu kwani tatizo dogo. Sasa jana karudi bneti imefunguka akiwa anaendesha ikagonga kioo cha mbele na show yake ya mbele kwenye boneti imetoka na haijulikani ipo wapi. Nilimuuliza kama alitengeneza akasema alikuwa bado hajatengeneza. Hapo nilikasirika sana gari ipo nyang'a nyang'a. Alichoniambia ni kuwa yaani unajali gari kuliko uzima wangu? Na hapo hana hela ya kutengeneza., sijamjibu kitu na mpaka sasa sitaki hata kumwona.
Hata kama una gari, unaazima la mtu la nini? Afu kuna watu mjini wanaazimana hadi viatu na nguo! Tabia mbaya kweli! Afu ukute gari yako unapelekaga kwa wachina, akaitengeneze gongo la mboto ikirudi iko kama mgongo wa kobe!
Uswahili mzigo, kha!
\Hata kama una gari, unaazima la mtu la nini? Afu kuna watu mjini wanaazimana hadi viatu na nguo! Tabia mbaya kweli! Afu ukute gari yako unapelekaga kwa wachina, akaitengeneze gongo la mboto ikirudi iko kama mgongo wa kobe!
Uswahili mzigo, kha!
Kuna mdada I was introduced kwake anifanyie kazi flani. Ananiona for the second time ananiambia njoo nikupe shoes to match ur bag. Nikatamani kumuuliza huna fungus? Nikamezea, nikasema nikaona vizuri hivyo viatu namuambia sirudishi. Bahati nzuri vikawa vikubwa. Nikienda tena navaa sura ya kazi, staki mie!nazidi kuogopa, mbona tunataka fanana kuwaza??
Mie kuazima na kuzimishwa marfuku.
Hata kama ninalo siku bovu napanda daladala tu.
Mie nna roho nzuri mwayego, Kama ni hospitali nitakupeleka! Na mafuta staki kuwekewa usije ukasema tupitie mbagala Kabla sijakurudisha tegeta. Sizoei cha mtu na mie staki changu kizoelewe!\
mmh! King'asti naona tunawaza sawa. yaani nashangaa eti mtu unaazima gari? labda kama ni shida ama tatizo kubwa kama kwenda hosp ila kwa safari tu za kawaida jamani nashukuru Mungu TZ 11 yangu iko poa aisee. sasa hao wanaokuja na kuazima pamba lol! mjini shule aisee.
kimsingi mimi bora niazime kazini yaani gari la ofisi lkn si la mtu.
Kwi kwi kwi umenichekesha sana ila na wewe una majungu khaa
Mie nna roho nzuri mwayego, Kama ni hospitali nitakupeleka! Na mafuta staki kuwekewa usije ukasema tupitie mbagala Kabla sijakurudisha tegeta. Sizoei cha mtu na mie staki changu kizoelewe!
Ila King'asti huwa unanifurahishaga sana yani, sasa hapo kwa red umefikiriaje hivyo?
Uarabu je?
mimi niseme tu nina roho mbaya.manake mtu haniombi kitu bali mimi ndo nasukumwa kusaidia, na nikisaidia basi mm ndo mwenye mamlaka ya mwisho. kwako siombi kitu na kwangu vivyo hivyo. msibani nakuja natimiza yaniasayo kwenye ugonjwa ama sherehe naja natimiza yanipasayo lkn kamwe sitaki kuombwa na ukiniomba sikupi.
sipendi au sijazoea kuazima.
Niko comfortable na kitu changu.
nimefurah kufahamu kwamba wewe ni mbinafsi.