Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
mambo mengine ni umri tu
mkianza pata nywele nyeupe mtaelewa.
mkianza pata nywele nyeupe mtaelewa.
nimefurah kufahamu kwamba wewe ni mbinafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimefurah kufahamu kwamba wewe ni mbinafsi.
We unauza ya kwako ili ukaazime ya The Boss?
kwanza nipe specs ya ile yakwako, I need one...
Ndio, Ronnie ColemanKheeee...wewe!!!
Umenifananisha na mtu ama?
Mie nna roho nzuri mwayego, Kama ni hospitali nitakupeleka! Na mafuta staki kuwekewa usije ukasema tupitie mbagala Kabla sijakurudisha tegeta. Sizoei cha mtu na mie staki changu kizoelewe!
Ndio, Ronnie Coleman
mmefanana kama pacha.
Hivi ni ndugu yako ama?
Mwambie nahitaji camera!
MMefanana mwandiko (handwriting)Hmmm wee binti...umejuaje kaa mi nafanana na huyo mtu ulomtaja hapo?
Ushawahi wapi kuiona sura yangu?
MMefanana mwandiko (handwriting)
As a matter of fact that is one of my hobbies.Hapa siandiki mimi. Nachapa tu. Unajua kuchapa wewe Mwali?
kuazimana magari ni kitu cha kawaida kama wote mnamiliki gari/magari, lkn kama mmoja hana alafu anaazima hapo ndiyo huwa noma.
As a matter of fact that is one of my hobbies.
tunaongea kuchapa as drawing?
maana kuna kuchapa na kuchapa...
hahahaha, indeed, nilisahau hiyo ya mwishoKuna kuchapa na kuchapa na kuchapana...
i have grown to respect Bwan Chuchu
than most people here
but not that i say he is ideal for you
Thanks Boss...
You my dude...
Sasa ile update vipi aisee....
Hahaha, mi nimesema tu the guy looks interestingi have grown to respect Bwan Chuchu
than most people here
but not that i say he is ideal for you
ila bana hizi tabia sijui ni mazingira manake sielewi hasa inaanzaje atii. ndo maana miye nikaamua kuish kijijini jiran ngedere na vicheche na mifugo nifugayo. tunakuta na watu barabaran kwako siji na kwangu usije labda siku ya jumuiya tu. urafiki wa kuzidi nao pia sitak.Ndo maana na sema Kama ni hospital nitakupeleka kiroho safi. Kama huna viatu nitakupa, sio kuazimana. Mwisho ukachukue CL yangu uendee kariakoo wakati mwenzio hata harusi za uchafuni siendi nayo! Tutaharibu urafiki. Mie hata khanga ya mtu sivai!