Nimeboreka mpaka basi

Nimeboreka mpaka basi

Pole sana dada, mimi nilisha pata mkasa mkumbwa zaidi ya huo ila sihitaji kuusimulia.
Jitahidi utengezeze gari lako na usiazime tena hasa mtu ambaye hana gari kwani wengi hawana uchungu nalo.
Mimi sasa nina pikipiki kama muazimaji anajua kuendesha..hiyo anapata tofauti na hapo negative!!!
 
Mnanikuna nyie wadada, kuna mtu alisusa kuja kweny harusi ya mdogo wangu kisa sikumwazima gari alitumie na mkewe kuja harusini, ilhali mabasi yalikuwepo na destination usiku ni jirani na kwake, khaaaaaa nikamwambia na msije tu kwa kweli......

Ubinadamu kazi


Mie nna roho nzuri mwayego, Kama ni hospitali nitakupeleka! Na mafuta staki kuwekewa usije ukasema tupitie mbagala Kabla sijakurudisha tegeta. Sizoei cha mtu na mie staki changu kizoelewe!
 
Ndio, Ronnie Coleman
mmefanana kama pacha.
Hivi ni ndugu yako ama?
Mwambie nahitaji camera!

Hmmm wee binti...umejuaje kaa mi nafanana na huyo mtu ulomtaja hapo?

Ushawahi wapi kuiona sura yangu?
 
kuazimana magari ni kitu cha kawaida kama wote mnamiliki gari/magari, lkn kama mmoja hana alafu anaazima hapo ndiyo huwa noma.

hata kama wote mnamiliki pia hakuna sababu ya kuazimana. Au ndio mambo ya kutokeleza!!!
 
Kuna kuchapa na kuchapa na kuchapana...
hahahaha, indeed, nilisahau hiyo ya mwisho
Haya, minaenda sokoni mara moja, nakuja
Kuna kiungo muhimu nilisahau kununua
I need it to cook a nice yummy Dakku.
 
i have grown to respect Bwan Chuchu
than most people here
but not that i say he is ideal for you
Hahaha, mi nimesema tu the guy looks interesting
kwani nimesema I am looking for a match for me?
Mi niko sawa sasa hivi, i need nobody kwa kweli!
But I also have a lot of respect for him, and NN
 
Ndo maana na sema Kama ni hospital nitakupeleka kiroho safi. Kama huna viatu nitakupa, sio kuazimana. Mwisho ukachukue CL yangu uendee kariakoo wakati mwenzio hata harusi za uchafuni siendi nayo! Tutaharibu urafiki. Mie hata khanga ya mtu sivai!
ila bana hizi tabia sijui ni mazingira manake sielewi hasa inaanzaje atii. ndo maana miye nikaamua kuish kijijini jiran ngedere na vicheche na mifugo nifugayo. tunakuta na watu barabaran kwako siji na kwangu usije labda siku ya jumuiya tu. urafiki wa kuzidi nao pia sitak.
 
Back
Top Bottom