Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 238
- 272
Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika vizur afu huu uzi si wakwko au wewe mwanamke piaKama umeboreka ni vizuri sana maana ulikuwa libovu mno
Mambo ya Facebook mnaleta hukuNdo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
Haiko ivo brooNdo mbinu zenu mpya za kula papu.chi?
Njoo zako basiTuma pesa tukuletee warembo
Hamna mkuuMambo ya Facebook mnaleta huku
Haiko ivo mama unawezaje kutafuta mwanamke afu huna pesakatafute pesa weekend bado haijafika
Anyway wenye pesa za mawazo huwa ivookatafute pesa weekend bado haijafika
Kula kulala mna tabu sana, haya ndio madhara ya kutojuwa bei ya mchele, unga wala sukari na asubuhi hii hakuna dependants wanaokutegemea ili leo nao waende chooni.Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
Uzi ni wa JF we mama punguza kilimiAndika vizur afu huu uzi si wakwko au wewe mwanamke pia
Mimi sijahamaki broUzi ni wa JF we mama punguza kilimi
Hili nalo vijana tulitazame sema utakuta kazi anayo ila ana likizoKula kulala mna tabu sana, haya ndio madhara ya kutojuwa bei ya mchele, unga wala sukari na asubuhi hii hakuna dependants wanaokutegemea ili leo nao waende chooni.
Asione akadhaniHili nalo vijana tulitazame sema utakuta kazi anayo ila ana likizo