Nimebubujikwa na machozi ya furaha sabato ya leo Mchungaji akipongeza waamini kukua kifedha na kuongeza zaka kufikia million 120 kwa mwaka

Wadau hamjamboni nyote?

Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni 87 mwaka 2023

Huku ni kukua kiroho kifedha kongole waamini wote ndani ya siku 7 sijapata huduma Hadi Leo and
Wewe na Mwashwambwa mbona mnabubujikwaga machozi hovyo hovyo namna hiyo? Hata mkiambiwa mama mitano tena hapo hapo mnabubujikwa machozi ya furaha
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni 87 mwaka 2023

Huku ni kukua kiroho kifedha kongole waamini wote
Sawa sawa sio kwamba zilikuwa zinadiawa kwa mbinde
 
Wewe jamaa kama hivi kuna nati/bolt zimelegea huko kichwani ! Unatia huruma, unajitaji tiba !
 
Kitu ambacho nimeiacha kufanya kabisaaaa ni kupelekwa sadaka sijui zaka kanisani..... Napeleka Moja Kwa Moja Kwa mhitaji.....
Mungu hatendi kazi namna hiyo ndugu, hizo unazitoa si sadaka Wala zaka Bali unawasaidia hao wahitaji. Zaka ama sadaka hutolewa kwa mujibu wa biblia. Tubu ndugu yangu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni 87 mwaka 2023

Huku ni kukua kiroho kifedha kongole waamini wote
M 5 TENA KWA MAMA .
 
Mama amefungua NCHI na uchumi wa Nchi umeimarika na hali ya kiuchumi kwa Mwananchi mmoja mmoja imekuwa nzuri sana.ndio sababu ya kutokea hayo uliyoyaeleza.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nipo ibadani leo machi mosi hapa Kanisa la Wasabato salasala na nimefurahi mno taarifa ikisema mapato ya zaka yamepaa na kufikia milioni 120 Kwa mwaka 2024 kutoka milioni 87 mwaka 2023

Huku ni kukua kiroho kifedha kongole waamini wote
Unabubujikwa machozi ya furaha wewe ni Lucas Mwashambwa?
 
Back
Top Bottom