ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Serikali si mmeona kunipa ajira Ni kipengele nikiingia Uzi wa vyakula natamani mamisosi ya kumwaga na mazagaazaga Ila ndo vile Tena Sina mahela..
Sasa Mimi Ni mjanja siwezi kukwama kula matunda ya nchi Hapa bustanini.mwezi wa nane najichanga naenda zangu Arusha au dar au iringa kutafuta mishe za jikoni.kuanzia leo bundle langu nalimalizia YouTube kujifunza mapishi Kisha nafoji cheti kuonyesha nimepiga course me sio mjinga tutakula tu wote maisha.