Hahahaha ubongo wako mfupi sanaKwa miaka mingi nimekuwa nikimtakia Zitto K. Aje kuwa Rais wa JMT
Siku ikijatokea nitafurahi sana.
Hata wakati ule anaoa niliwaambia watu kuwa huyo mke ni First Lady mtarajiwa!
[emoji4][emoji4]
Mbona wengi tu tunamchukia Magu huku kusini kila mtu anajua Magu alipokonya hela za mfuko wa kuendeleza zao la korosho akaenda kujenga airport ChatoWakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Hatuwezi kuacha kusema vutendo viovu vya Magufuli eti kwa sababu tutakufa na kuliwa na minyoo. Hapana ule UFEDHULI usirudi tena nchini kwetuSiku sio nyingi hata kama sio ww au watu Wako wa karibu wataoza na kuliwa na minyoo pia
Vp kiroboto hali yako ya maisha imebadilika sasa ee kichwa kikubwa kimejaa udongoHatuwezi kuacha kusema vutendo viovu vya Magufuli eti kwa sababu tutakufa na kuliwa na minyoo. Hapana ule UFEDHULI usirudi tena nchini kwetu
Japo siyo kiroboto ila Nina maisha mazuri yenye amani kuliko DIKTETA alivyokuwa hai. Sina wasiswasi wa kutekwa na WASIOJULIKANA wala siogopi kueleza maoni yangu kwenye mtandaoVp kiroboto hali yako ya maisha imebadilika sasa ee kichwa kikubwa kimejaa udongo
Nakuelewa mkuu nadhani Hata Tundu lisu kwasababu ya Uislamu wake ilipelekea kukosana na Magufuli na hata JPM kupelekea kumshambulia, bahati mbaya Mungu si wa wakristo, akamnusuru muislam yule bwana TunduDkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.