Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
kabla ya kumchukia zitto kabwe wewe na wenzio mnao muona magufuli kama Mungu ungesema kwanza alichokisema zitto ni kweli au uongo
ALAANIWE MWENDAZAKE
 
Mengine ni kama haya, angalia hapo chini Lukuvi akiongea mwaka 2018 juu ya mgogoro wa Ardhi kwa Boko Somji [emoji1541]

Halafu soma hii article hapa chini [emoji1541] ya Makalla akitatua mgogoro huo huo mwaka 2021

Ni ishu kama hizi ndiyo zinafanya wananchi wengi wa kawaida hawawaelewi. Kimsingi hamjui siasa.
Unapoandika "wananchi hawawaelewi" na "hamjui siasa" unakusudia kunilundika katika kundi gani?
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Magufuli hakuwa Rais sahihi kwa Nchi yetu bali alikuwa anapuyanga tu. Watanzania wengi elimu duni aliwadanganya kwa propaganda zake na wakadanganyika, hawakuwa na namna ya kupata taarifa mbadala.

Ilikuwa ni ajali kutawaliwa na kichaa toka Chato iliyotokea mwaka 2015. Naamini haitotokea tena.

Tuko mikono salama na Rais SSH
 
Kwanza umedeku hiyo video na kusoma hiyo article? Mambo gani sasa hayo?

Nakuweka katika kundi hilo la chawa wa hii inayojiita awamu ya 6. Kwa bahati mbaya sana, misimamo na mazungumzo yako, yanakuweka katika kundi hilo, huna tofauti na Skunk Fallacy na vidampa wengine.
You have a one track mindset. A flat one at that. You lack depth and dimension.

You have no decency kumuita mtu chawa.

Nimeeleza hapo juu kwamba sioni tofauti ya kimsingi kati ya JPM na SSH.

Nimeeeleza hapo juu jinsi ninavyoshangazwa na Zitto kumshambulia rais marehemu JPM wakati kuna rais anayeishi SSH mwenye madudu mengi Zitto hajamsema kitu.

Nimetoka kumkosoa SSH kauli yake kwamba tuna afadhali kwenye bei ya mafuta kulinganisha nanjirani zetu.

Nimekosoa upotoshaji wa SSH kwamba bei ya mafuta Tanzania ni afadhali kuliko Marekani, kwa data, zilizoonesha kwa uafadhali wa bei ya petroli Tanzania ni nchi ya 90, Marekani ni nchi ya 62 by May 2 2022.

Sasa mimi ni chawa gani wa SSH na awamu ya sita ninayetaka SSH awe criticized zaidi na tuachane na mfu Magufuli?

Mimi chawa gani wa SSH ninayem criticize SSH?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?

Au ndiyo unarukia conclusions kama nilivyoandika hapo juu?
 
nami pia nahisi wee ni Mdini kwa kuwa wapo wengi tu wanaomkosoa JPM wakiwa Wakristo

we msaidie kujibu hoja husika

yapo mengi mazuri na mabaya pia yapo

usilazimishe wote tuwe upande mmoja

Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
 
CAMPAIGN CHAFUA JPM IS HOTTER

HISTORIA ITAWEKA WAZI
 
Sidhani Kama kiranga anamkosoa JPM Kwamba yeye Ni Chawa wa Sunet Tv
Unaweza kueleza kwa jinsi nyingi tu, lakini ishara za mazungumzo yako ni za kichawa. Haupo fair katika ukosoaji wala uungaji mkono wako. Of kozi, huwezi kuliona hilo kwasababu ndivyo ulivyo.

Hayo mengine ya mindset, depth na dimensions nakuachia wewe, ila jaribu pia kuwa na ngozi ngumu. Upo kwenye social media hapa na siasa ni contact sports!
 
Unaongelea "ishara za mazungumzo yako" kwa sababu huna data.

Una speculate. Una jump to conclusions. Huna ushahidi.

Kwa nini unaongelea "ishara za mazungumzo yangu" wakati mazungumzo yote yapo hapa JF?

Kwa nini usinukuu moja ya posts zangu tuchambue na mimi nikuoneshe kuwa sipo hapa kumpigia jaramba mtu?

Huwezi kuweka nukuu ya maneno yangu nilipomtetea SSH kwa namna ambayo unaweza kusema mimi ni chawa wa SSH.

Lakini, mimi naweza kukuwekea post yangu ya leo leo, masaa machache tu yaliyopita, nilipomrekebisha kada wa CCM aliyekuja hapa kupotosha habari za SSH kuongoza vizuri Tanzania kwenye bei ya mafuta.

Nikaweka data za dunia na kusema kwa nchi zenye bandari za ukanda wetu Tanzania ina bei ya mafuta kubwa zaidi.

Tena kada wa CCM alivyoona nimemshinda kwa data akajifanya kujibaraguza kwamba tunasema kitu kimoja, nikamrekebisha kumwambia hapana, logically.

In fact hata katika uzi huu nimeandika hapo juu kwa nini Zitto hamkosoi zaidi SSH, anashikilia kumkosoa JPM ambaye kashajifia zake? Sasa hapo nakuwaje mtetezi wa SSH?

Sasa mimi chawa gani wa SSH ninayewarekebisha makada wa CCM wanaopotosha ukweli kwa kumsifia SSH?

Kama unataka kunishambulia, nishambulie kwa data specific. Usiende kwa mihemko ya maneno matupu.
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Endelea kuoza na kuliwa na minyoo huko kaburini hata Yesu akirudi ushindwe kufufuka Magufuli. Tanzania haikutendewa haki kuwa na Rais mwizi, muuaji na mwongo kama Magufuli Hata Magufuli akifufuka atakuwa ndiyo kuni za kuchomea moto wa jehanam ambao wakosefu wanaungua
 
Siku sio nyingi hata kama sio ww au watu Wako wa karibu wataoza na kuliwa na minyoo pia
 
Data za nini wakati ukikumbushwa uliyosema huko nyuma unabisha! Mfano, uliwahi kusema wazi kuwa nyumba yenu ya Oysterbay kodi ilipungua na kukosa mpangaji/wapangaji wakati wa JPM na hivyo chuki yako dhidi yake. Leo unabisha kuwa hujawahi kusema hivyo!

Sasa basi, unakuwa chawa wa Samia kwasababu sasa kodi yenu imepanda na mna wapangaji!

Unajiribu kuwa rational katika mazungumzo yako, lakini ni wapuuzi tu ndiyo hawataona bias zako katika unayoandika.
Wewe unafanya kitu kinaitwa "psychological projection".

Kwa sababu wewe huwezi kufanya siasa za falsafa, unaongozwa na siasa za chuki, ukiona mtu anafanya siasa za falsafa, na kusema kwamba JPM aliangusha real estate market, unachoweza kuelewa hapo ni chuki tu.

Ndiyo mwisho wa uwezo wa akili yako.

Kwa sababu huna uwezo wa kujadili mambo kidhahania.

Una personalize mambo.

Siwezi kukulaumu sana.

Ndiyo uwezo wako ulipoishia.
 
Hayo ya ya bei ya mafuta tuachane nayo, ni ishu complex sana! Hahaha tayari boss wenu keshasema Marekani mafuta ghali kuliko bongo [emoji1787][emoji1787]
"Boss wenu" nani? Unalazimisha mambo?

If anything Samia boss wako wewe kuliko mimi.
 
Hahaha sasa mimi na wewe nani anafanya hiyo psychological projection? Miye wala sijali sana kuhusu siasa za bongo. Nilinufaika wakati wa Magufuli hasa kilichotokea kwenye real estate na nipo poised kunufaika katika serikali ya Samia. Vyovyote iwavyo kwangu ni win win! Hiyo chuki unayosema wewe itoke wapi??

Tatizo langu na watu dizaini yako ni kuwa mnaongea sana na mara nyingi hamkumbuki yale mliyoongea siku za nyuma. Kingine ni unafiki, mfano suala la nyie kupewa nyumba Oysterbay, kodi yake ya pango na mengine kuhusu hiyo real estate, umeongea kwa jinsi nyingi kiasi kwamba ukweli halisi haujulikani ni upi.

Acha chuki dhidi ya marehemu, kwa mara ya kwanza katika maisha yako, anza kuishi Kama vile unavyoongea. Siyo una project positivity wakati maongezi yako yana negatives kibao.

Kingine kama ni kweli JPM alikuwa karibu na familia yako, basi wewe ni miongoni mwa watu wa hovyo sana hapa duniani, huna loyalty wala “urafiki” wa kweli. Jitathmini..
Nimekupa nafasi usimamishe hoja yako kwa nukuu zangu.

Umeshindwa, kwa sababu huwezi kubishana kwa hoja.

Umezoea mipasho, siasa za chuki, majitaka, assumptions na speculation.
 
Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
Hata wewe upo kwenye mlengo wa kidini kwa sababu hiyo ndio maana unamsema zitto
 
Hahaha nina enjoy flani unavyopandisha munkari! Una tatizo la hasira au hisia zako huwezi kuzi-control! Calm down
Hujafikia wattage ya kunipandisha munkari, do not flatter yourself.

Ila kwa sababu wewe ni mvivu wa kufikiri, hata nikipiga chafya kwa reflex action tu, wewe utaona nimepandisha munkari.
 
Hahaha kwa kujikweza pia hujambo. Ila punguza emotions katika mijadala humu kwenye social media…
Emotions umeleta wewe unayenishutumu bila kutumia angalau nukuu yangu hata moja.

Yani wewe ni kama mtu mwizi ambaye kwa sababu yeye ni mwizi, anamshuku kila mtu kuwa mwizi.

You are doing "psychological projection".

Tabia zako kama za kuwa emotional kwenye mjadala unaotaka logic, unanipachika mimi.
 
Alikupiga au alikuua?
Mkuu tumia busara basi hata mara moja moja, mtu akiwa muuaji lazima akuue au akiwa mpigaji basi lazima ampige kila mtu? Nchi kama nchi ni kuweka utaratibu mzuri ili mtu kama yule asije kupewa madaraka makubwa kama ilivyotokea kwa bahati mbaya.
 
Tuthibitishie huo uuaji.
 
Back
Top Bottom