Nimechaguliwa advance wakati niliweka chagua la kwanza technical college...sijaelewa!

Fibonacci

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
377
Reaction score
205
Wakuu,

Natumai mambo yanaenda sawa.
Nimemeliza form 4 mwaka jana na nilifanikiwa kupata daraja la kwanza. Sasa nashangaa wizara husika kunipangia shule ya advance wakati kwenye form nilijaza technical college. Na kwenye vigezo vya kujiunga technical education ninavyo vyote. Ni kwamba advance hakuna watu au? Na hivi inawezeka kuhamia technical college kutokea advance as far as my case is concerned. Advance sikupanga kabisa kwenda tangu nipo form two sasa leo ukiniambia niende advance ushaniharibia muelekeo. Mawazo yenu wadau tafadhali.

Akhsanteni.
 
Vitu vinasababisha usipangwe vyuo vya ufundi
1.kama haukuweka tec education kama first selection
2.kutokuwa na grade C na kwenda juu katika masomo yafuatayo..Physics,Chemistry,B.Mathematics,English/kiswahili
 
Vitu vinasababisha usipangwe vyuo vya ufundi
1.kama haukuweka tec education kama first selection
2.kutokuwa na grade C na kwenda juu katika masomo yafuatayo..Physics,Chemistry,B.Mathematics,English/kiswahili
Kwenye kiswahili hapana.... Mi nilipata D ya kiswahili wakati namaliza form 4 mwaka 1991 na nikachagualiwa MTC by them
 
mkuu zile ni namba tu hawajaziwekea weight zote zina weight sawa mi naamini vile vitu vyote ulivovijaza unavipenda.
 

kubadili inawezekana! Anza michakatoo mapema!
 
Unaweza ukapanga lakini Mungu ndiye anayewezesha kama kweli ulipata Div 1 hapana budi uende advanced ili upate fulsa nzuri zaidi ya kwenda Eng. baadaye japo utachelewa malengo yako lakini utafaidika zaidi kuyafikia malengo yako kwa kiwango cha juu cha remunilation, kwani uliibia mtihani unaogopa ukienda advanced utafeli? we nenda tu na soma kwa bidii, ila kama wamekuchagulia sayansi jamii nenda wizarani haraka wakupeleke sayansi unayoipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…