Fibonacci
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 377
- 205
Wakuu,
Natumai mambo yanaenda sawa.
Nimemeliza form 4 mwaka jana na nilifanikiwa kupata daraja la kwanza. Sasa nashangaa wizara husika kunipangia shule ya advance wakati kwenye form nilijaza technical college. Na kwenye vigezo vya kujiunga technical education ninavyo vyote. Ni kwamba advance hakuna watu au? Na hivi inawezeka kuhamia technical college kutokea advance as far as my case is concerned. Advance sikupanga kabisa kwenda tangu nipo form two sasa leo ukiniambia niende advance ushaniharibia muelekeo. Mawazo yenu wadau tafadhali.
Akhsanteni.