Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook
Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine affordable. Mara ya kwanza wamenizungusha sana ila sasa hivi baada ya kuwakazia wananiambia niwatumie code niliyotumiwa na nacte ili wanifute na mm sms ya nacte sijapata na mda unaenda nifanyeje au niende ofisi za nacte?