Nimechaguliwa chuo nisichokipenda

Nimechaguliwa chuo nisichokipenda

Kwanini ulilist chuo ambacho hukutaka kabisa kwenda? Unabet na NACTE siyo?
 
Kwani wameshaanza outta selection za chuo,mbona mimi ndo najaza said?
 
Nimepangiwa taifa kipo arusha course ya physiotherapy ila nataka kwenda mgao njombe kwa course ya dental vyote ni private
Mpigie huyo Admission officer wa mgao anaweza kukusaidia

Au wasiliana na huyu dada yuko Nacte Dar atakusaidia jina nimelisahau.(njoo inbox).

NB:Nafurahi kuona vijana mmeamka mmeikataa Clinical Medicine kwa vitendo 😁....ila nikuambie tu dogo hakikisha Diploma una maliza na GPA isiyopungua 4.5 kama unataka future haijalishi kozi gani utasoma...kila la kheri.
 
Hiko mgao bila 2.7M usitie pua so jua tu vya private vyote vina ada kubwa.
Kuna Private za ina mbili

1. vyenye ubia na serikali ,, hiv Ada yake kidogo afadhar,, hiv vina ruzuku

2. Kuna private visivyo na ubia na serikali ,, hiv Ada yake ni juu Zaid maana having ruzuku
 
Mkuu nitajie hivyo vyuo private diploma vyenye ubia na seriali ada nafuu nipe hata kimoja tu.
Kuna Private za ina mbili

1. vyenye ubia na serikali ,, hiv Ada yake kidogo afadhar,, hiv vina ruzuku

2. Kuna private visivyo na ubia na serikali ,, hiv Ada yake ni juu Zaid maana having ruzuku
 
Mkuu nitajie hivyo vyuo private vyenye ubia na seriali ada nafuu nipe hata kimoja tu.
Kuna kijana wangu yupo Bulongwa huko Njombe anasoma dental.

Ada haizid milion 2

Kwenye guide book chuo chenye ubia wamekiwekea FBO.
 
Kitu naweza kukushauri pambana omba mkopo na hakikisha unasoma kozi zilizoainishwa ikiwemo hiyo dental ili upunguze makali ya ada ila vyo karibu vyote private ada huanza 2.5M na kuendelea. Kama huna uwezo mwambie mzazi ajiminye usome kwa mwaka mmoja qualify uhamje gvt
 
Kuna kijana wangu yupo Bulongwa huko Njombe anasoma dental.

Ada haizid milion 2

Kwenye guide book chuo chenye ubia wamekiwekea FBO.
Nafatilia ila ninavyojua kama hiko bulongwa ada ni 3M
 
Kuna kijana wangu yupo Bulongwa huko Njombe anasoma dental.

Ada haizid milion 2

Kwenye guide book chuo chenye ubia wamekiwekea FBO.
Vyuo vya FBO mashirika ya Dini tena ada zake ni mkasi.
 
Okay...ila amechelewa hiko chuo kinapendwa sana kwa njombe na miongoni mwa vyuo bora kwa kozi ya dental
Inawezekana.

WA kwangu anaingia third year.

Nilimfanyia Application kipind hicho mwanzon mwa june
 
Back
Top Bottom