Nimechaguliwa chuo nisichokipenda

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook
Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine affordable. Mara ya kwanza wamenizungusha sana ila sasa hivi baada ya kuwakazia wananiambia niwatumie code niliyotumiwa na nacte ili wanifute na mm sms ya nacte sijapata na mda unaenda nifanyeje au niende ofisi za nacte?
 
Si chuo unajichaguliwa mwenyewe inakua je wa kuchagulie chuo
 
Kwani wewe ni wakiume au wakike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…