Kama ulivyoona inaitwa Dental Laboratory technician, unavouliza inahusu nini unashangaza sana, em tafuta kwanza dictionary basi uanze na neno dental, afu uje laboratory afu umalizie technician afu jifunze kua mtafutaji kwenye internet au vitabu inasaidia sana kupata data nyingi mno, kama net inatosha hata video clips. Kama ambavyo inaonekana umepata tabu sana kuchaguliwa sasa kumbuka hayo machungu ukienda chuo fanya wonders wakiwa wanafanya selection uwe unachaguliwa mwanzoni na sio mwishomwisho hivi utasema bahati na sibu.. Mungu akutangulie kama ni believer, kama sio basi no offence amini ukikomaa sana utaweza... Kuhusu mshahara inategemea na mwenyewe uko fit kiasi gani, kama uko safi kabisa maisha safi tu, kama ndio wale utasema low end batteries basi mkuu utaishia mtaani tu.
All the best