Nimechaguliwa Course ya Dental laboratory technician, tupeane ushauri

Nimechaguliwa Course ya Dental laboratory technician, tupeane ushauri

saambili

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
25
Reaction score
4
Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo
 
Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo

wizara huwa wanapangia mtu kozi aliyoiomba, hawawezi kukupangia kozi ambayo hukuiomba!! Hivyo nenda ukasome kwa bidii na mungu akutangulie,.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulivyoona inaitwa Dental Laboratory technician, unavouliza inahusu nini unashangaza sana, em tafuta kwanza dictionary basi uanze na neno dental, afu uje laboratory afu umalizie technician afu jifunze kua mtafutaji kwenye internet au vitabu inasaidia sana kupata data nyingi mno, kama net inatosha hata video clips. Kama ambavyo inaonekana umepata tabu sana kuchaguliwa sasa kumbuka hayo machungu ukienda chuo fanya wonders wakiwa wanafanya selection uwe unachaguliwa mwanzoni na sio mwishomwisho hivi utasema bahati na sibu.. Mungu akutangulie kama ni believer, kama sio basi no offence amini ukikomaa sana utaweza... Kuhusu mshahara inategemea na mwenyewe uko fit kiasi gani, kama uko safi kabisa maisha safi tu, kama ndio wale utasema low end batteries basi mkuu utaishia mtaani tu.
All the best
 
Watu wengi wameingia mkenge unachagua kozi,harafu hujui kazi yako nini. Unasomea kinywa na meno,njoo uje utung'oe meno. Mshahara itategemea umeajiriwa wapi.
 
nipo pale mhimbili na tupo watano tuu ..sielewi kwa nn tupo wachache ivi..mwenye kujua alete taarifa
 
Mungu hamtupi mja wake..hatimae afya wamenichagua katika coz ya dental laboratory technician ...kwa anaefaham inahusu nn na wapi ajira zake..pia mshahara naomba anipe dondoo kidogo

....ndugu yangu, niliposoma bandiko lako nimepata mshituko wa ghafla kwani wewe msomi wetu utakayekuja kutuhudumia afya zetu miaka miwili au mitatu ijayo umekosa umakini kiasi hicho! Yaani hujui kozi uliyoomba mwenyewe inahusu nini? Hata jina lenyewe la kozi sidhani kama umeliweka kiusahihi kwani kwa uelewa wangu kuna kozi za Dental Assistant/Technician na pia kuna kozi za Laboratory Assistant/Technician. Hizi ni kozi tofauti kabisa na sidhani kama zinaweza kuwa merged na kuwa kozi moja kama inavyoonekana kwenye bandiko lako!
 
Kumbe wizara walikua sahihi kabisa kukupa second selection, hata sisi tusiokua na ujuzi kwenye mambo ya afya tunajua hiyo course inahusu nini lakini wewe mwenyewe muhusika hujui?? angalia kijana usike uka disco coz it seems your not smart
 
Back
Top Bottom