symphorianicky
Member
- Sep 16, 2014
- 48
- 5
nimechaguliwa udsm kozi hiyo niliiweka mwisho tatizo langu siitaki ninaweza badilisha?
hivi hizo selection mmeziona wapi?mi leo kutwa nzima website ya tcu haipatikani.nataka kujua dogo kapata wapi.nisaidie tafadhali
Check website za vyuo mkubwa
samahani mkuu,sasa nitacheki chuo kipi,chaguo lake la kwanza nilimwekea nit,na mwisho ilikuwa udsm,sasa nianzie wapi?
bachelor of science in computer science nataka kuhama.
nataka kuhamia ata civil or mechanical
nataka kuhamia ata civil or mechanical