Nimechaguliwa ila kozi siitaki

Nimechaguliwa ila kozi siitaki

nimechaguliwa udsm kozi hiyo niliiweka mwisho tatizo langu siitaki ninaweza badilisha?

hivi hizo selection mmeziona wapi?mi leo kutwa nzima website ya tcu haipatikani.nataka kujua dogo kapata wapi.nisaidie tafadhali
 
hivi hizo selection mmeziona wapi?mi leo kutwa nzima website ya tcu haipatikani.nataka kujua dogo kapata wapi.nisaidie tafadhali


Ud
Saut
Tumaini
Bugando
St Joseph
St Francis

so far ndo list ya vyuo vilivyotoa majina
 
bachelor of science in computer science nataka kuhama.
 
nataka kuhamia ata civil or mechanical

Computer Science sio mbaya ka unavofikiria Ww coz tunako enda huko mbele demand ya Computer experts itakuwa kubwa sana na nowdays kila kitu kinabase kwenye technology iwe ni biashara, uchumi, elimu, mawasiliano etc. Anyway, mechanical Eng is better than Civil Eng
 
uliiweka mwisho??? si uliichagua lakini usingeiweka tuone kama wangekuchagua NB: Kaa nyumbani subiri u-apply mwakani watakupa kozi nzuri mkuu.
 
Una uwezo wa kubadilisha within a first week but inabd uwe na sifa pia kuwe na nafasi kwenye coz unayochagua...kwa maelezo zaidi fika chuon uchukue admission letter utapewa name karatac yenye hayo maelezo.
 
Mi mwenyewe Niko hapo udsm, nimeshuhudia watu wakibadilisha kozi na wanafanikiwa.
 
ni pm number yako unisaidie na km hutojali ntakubeba.
 
Back
Top Bottom