Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Habari wana JF hongerini na ujenzi wa Taifa letu pendwa TANZANIA
Wakuu Naomba msaada wa mambo kadhaa juu ya kozi ya usimamizi wa wanyama Pori.
Nimechaguliwa kujiunga na Chuo Cha usimamizi wanyama Pori Mweka katika Kozi ya WILDLIFE MANAGEMENT...
Wakuu kwa unyenyekevu mkubwa Naomba mwenye ujuzi wowote wa hii Kozi anisaidie mawazo juu ya mambo yafuatayo;
Ugumu wa Kozi
Availability ya ajira
Mahara ambapo watu wa wildlife management wanaajiriwa
Vitu vya kufanya ili nifanikiwe kwa uthabiti katika Kozi hii
Pamoja na mambo yote (mbalimbali) juu ya kozi hii ya wildlife management.
Natanguliza shukran za dhati