theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Umepotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkran mkuuKozi dogo ajira zake chache sana kuna jamaa nilisoma nao paleSUA mpaka leo wanasota pia ni kozi inahuwanja mdogo wa kujiajiri hukikosa ajira
Kivip mkuu?Umepotea.
4.6M for first year MkuuHivi Tuition fee ni sh ngapi?, ni course nzuri unaweza pata ajira kwenye Mbuga za wanyama nk.
Daaaaah aseeehhapo hakuna course, nina ndugu yangu alisoma certificate ya iyo mambo, hakupata ajira, akaenda kusoma diploma yake napo hakupata ajira, akaongeza degree yake alimaliza 2017 napo hakupata ajira, akaingia kusoma masters yake mwakani anamaliza masters aingie tena kwenye kusaka ajira (((yeye amepata fulsa ya kusoma kwa kuwa kwao ni watu wanajiweza sana))))
Nenda kasome asisee uje usaidie kutunza wanyappri wetu.Ajira ipoHabari wana JF hongerini na ujenzi wa Taifa letu pendwa TANZANIA
Wakuu Naomba msaada wa mambo kadhaa juu ya kozi ya usimamizi wa wanyama Pori.
Nimechaguliwa kujiunga na Chuo Cha usimamizi wanyama Pori Mweka katika Kozi ya WILDLIFE MANAGEMENT...
Wakuu kwa unyenyekevu mkubwa Naomba mwenye ujuzi wowote wa hii Kozi anisaidie mawazo juu ya mambo yafuatayo;
Ugumu wa Kozi
Availability ya ajira
Mahara ambapo watu wa wildlife management wanaajiriwa
Vitu vya kufanya ili nifanikiwe kwa uthabiti katika Kozi hii
Pamoja na mambo yote (mbalimbali) juu ya kozi hii ya wildlife management.
Natanguliza shukran za dhati
View attachment 1619872
Kweli mkuu itajulikana mbele kwa mbeleWe kasome kwanza mambo ya ajira utayajua ukishatoka. Siku hizi wanakosa ajira waliosomea Education na nursing sembuse wildlife...ukimaliza naamini milango itakuwa imeshafunguka ila kuna wahitimu kibao tangu Magu aingie madarakani kutoka vyuo vya Udsm, Sua na Mweka bado wanasugua benchi ila hiyo isikutishe.
Shukran Sana mkuuNenda kasome asisee uje usaidie kutunza wanyappri wetu.Ajira ipo
Ila nasikia mwaka huu TANAPA walitoa Ajira Kama 800 hvNenda kasome asisee uje usaidie kutunza wanyappri wetu.Ajira ipo
4.6? Duh haya kila rakheri Baba, ila naskia mnafundishwa vizuri na kwa vitendo zaidi hivo pesa haiendi bure.👍4.6M for first year Mkuu
Kwel mkuu4.6? Duh haya kila rakheri Baba, ila naskia mnafundishwa vizuri na kwa vitendo zaidi hivo pesa haiendi bure.[emoji106]
uwezekano wa kujiajiri upo pia.Ila nasikia mwaka huu TANAPA walitoa Ajira Kama 800 hv
Ok,atleast Heslb wamekupunguzia mzigo kidogo, kila rakheri 👏Kwel mkuu
Hapa mkopo nimepata 1.8M Hiv iliyobaki itabidi nijichange kwel kwel asee
Ni Jambo zuri piauwezekano wa kujiajiri upo pia.
Shukran Sana mkuuOk,atleast Heslb wamekupunguzia mzigo kidogo, kila rakheri [emoji122]
Mkuu Asante Sana nitafata USHAURI wako be blessedkwenye huu uzi wako ulichokuwa unataka ni kutiwa moyo na hamasa pindi utakapoanza masomo sio ushauri. Pia
kipindi unasoma focus kwenye kusoma na kupata alama nzuri hiyo inatosha kuwa Bora na kujijengea uwanja mpana wa soko ajira.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app