Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia!

Niongozeni wakuu.
Sio mbaya mbali na kujiajiri ukifaulu kwa GPA kubwa ni rahisi kufundisha

chuo kikuu kwa kuanza kama Tutorial Assistant
 
Usisome ukiwa na mawazo ya Ajira, Soma kitu unachokipenda na ambacho uko tayari kwenda beyond na unayofundishwa darasani. Msalimie Kajwaula (Sijui kama bado yupo)
 
Mkuu itakusaidia sana hata usipoajiriwa, unaweza ukajiajiri , Mambo mengi kwa sasa yanaendeshwa Digital.
 
Ajira ni nyingi mpaka utaziacha....Huko ajira portal kila kaz ya IT umo....kikubwa uijue tu.
Narudia tena, Ajira ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom