Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

Hiyo Environmental Science hapo SUA imeshakula vichwa vya Watu wawili ninaowafahamu na wako smart kichwani sijui shida nini.
Ukiamua Kusoma hiyo usifanye mchezo soma haswa
 
Zote kozi za kawaida pale sua ila nenda kasome BLS itakupa hata channel hasa kwenye mashirika ya nje. Kila la kheri wasalimiewakina Prof. Misinzo et al..
 
Ndugu wana JamiiForums naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya Environmental Science vs Biotechnology and Laboratory Science. Niko dilema nisaidieni idea.
Biotechnology ni nzuri kwa nchi za wenzetu kwenye Field za medical unaingia sana.
 
Back
Top Bottom