Nimechaguliwa SUA kusoma Bsc. ya Environmental Science ila nataka kubadilisha kusoma Biotechnology and Laboratory Science

Walimu mnakuwaga na mawazo ya kiualimu kweli kweli. Yaani uende kusoma BLS Ili uwe Lab Technician wa maabara ya Shule. Hatari kweli kweli.
😆😆😆😆 ss hapo shida nn si anakuwa kaepukana na kushika machaki ye kazi yake n kuchanganya ma sample tu
 
Vipi kuhusu maslahi yake na kukua kwenda level za Dunia ya watu wenye akili??? Yaani asome BLS kwa mawazo ya kuwa Lab Technician serious??? Na wenye Diploma za Tab tech kutoka DIT na MUST then wafanye kazi gani???
 
Boss mi naitaji ushauri mi Toka nimeajiriwa Huwa naandaaga practical Hivyo nikaona ni kozi gani itakayo niwezesha niwe full lab technician ya miaka 3 nikaona hii ya BLS Kwa sababu Niko kwenye ajira naona itanifaa unajua boss wangu Kila kitu huanzia chini .Humu ndani Kuna wadau wanamawazo mazuri ndio maana nimeuliza ili nisaidiwe kama inawezeka wanao jua watanisaidia ila na mawazo Yako ni mazuri asant

Swali langu nikisoma BLS naweza kuwa school lab technician ? Kwa mm mwalimu wa dip chem na bios naomba mawazo yenu.
 
Hauwezi kuwa school lab technician kwa sababu school lab technician haina muundo wa degree wanao ajiliwa ni wenye diploma tu ya laboratory science
 
Kwa hiyo nikasome diploma na hiii ya
DIT na MUST bachelor of laboratory science and technology nayo huwezi kuwa lab technician?
 
Hauwezi kuwa school lab technician kwa sababu school lab technician haina muundo wa degree wanao ajiliwa ni wenye diploma tu ya laboratory science
Wadau naombeni msaada nimekuja kuomba msaada wa mawazo kwani mwanzo yalinikuta kwenye bachelor Moja hivi haikua na ajira nikakimbilia diploma ndipo nilipo maliza nilikaa miaka miwili nikawa nimeajiriwa mwanzo niliamua mwenyewe bila kupata ushauri nikaangukia pua
 
Back
Top Bottom