ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.
Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa upo period, nikashangaa nikadhani amecolabo na wife ninyimwe, Jana hiyo hiyo nikapeleka ulevi wangu baa moja nikamnunulia mdada bia nyingi na chakula mwisho wa siku akasema yupo period Nikaenda kulala.
Cha ajabu Leo Asubuhi nimeamka na hangover , na sijaenda kupiga kura, nikatoka home kama kawaida holiday, nikakamata vitoto viwili vya chuo, tukaenda kwenye bia na ngurue tumekula na kunywa, Sasa yule naemjua alikuja na mwenzie , Sasa mwenyeji wangu ambaye ndo mashine yangu , Toka tumeenda kula analalamika tumbo , niliwapiga Hennessy, akanambia anahisi tumbo la period. Sasa nikamtaim nikaongea na rafiki ake aliekuja nae , akanambia yupo period atanipa jumamos, si anajua na mahela na tunazurula na harrier tako la nyani. Nikawarudisha hostel. Sasa
Saa 10 kamili nikavuta mashine ingine ya Chuo(demu wangu pia), nikaiambia vipi ikasema nataka nikaangalie mpira, Sasa nimeipeleka liquor store tunakunywa,naona anakunywa bia taratibu nikamwambia mwaga moto piga vyombo, Molaaaah akanambia tupo linamsumbua, nikapagawa nikasema ' mke, mchepuko 1, mchepuko2, mchepuko 3 wote wapo period.
Sasa lengo langu nikuja kuuliza je hizi tarehe ndio wanawake wengi wanaingia period au nimechomekewa boya Mimi.