Nimechanganyikiwa kuhusu hili ni ukweli ama ndo propaganda?

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
Salaaam.....
Wakuu katika pita pita zangu katika kwa wataalamu was dini nimekutana na hili..
Eti kwa kuya mtumiaji was muda mrefu wa internet kwa siku kuna pelekea mtumiaji kupata au kukumbwa na Mapepo, MAJIN MAHABA, KUSAJILIWA KUZIMU, NA KUCHANGANYIKIWA KIAKILI?????
Nime kuja kwenu ili niweze pata uhakika na ukweli kuhusu hili
Maaaana limeniogopesha Sana'a
Shukrani....
 
Inategemea unaangaia program gani kwenye internet. Kwa mfano kama unapenda kuangalia pornographic pics utakuwa addicted. Kila siku utataka kuangalia na utapoteza muda mwingi sana ukifurahia kuangalia. Hii addiction inasababishwa na kuwa possessed na kitu supernatural kisichoelezeka. Hii ndiyo kiroho wanasema umekumbwa na pepo la ngono. Huu ni mfano tu. Kama unaangalia Emmanuel TV kuna testimonies watu wanatoa kuwa walipata matatizo kwa sababu kamkubali rafiki kwenye mtandao ambaye hamjui. Alipoomba picha yake alimtumia picha ya ajabu sana alipomuuliza mbona umenitumia hii picha huyo rafiki akacheka sana. Akmwambia leo umeniona. Baada ya hapo ikawa mwanzao wa shida katika familia. Ziliisha baada ya deliverance.
 
western nationals wangekua na majini ya kutupwa na mengi mno
wewe ni hao watu ama??
 
Kwa hiyo mapepo n zaid ya hot sport na WiFi?? Huingiaa kwa MTU kwa Ku charts nae tu
 
Kwa hiyo mapepo n zaid ya hot sport na WiFi?? Huingiaa kwa MTU kwa Ku charts nae tu
Usichat na mtu usiyemjua. Kwanza unachat naye wa nini wakati humjui? Pia usikubali rafiki usiyemjua. Internet sasa hivi imevamiwa sana. Kama unasoma taarifa za ulaya kuna wadada wengi wamekufa kwa sababu ya kupata wenzi kwenye mtandao. Hao wenzi wameishia kuwaua. Chat na mtu unayemjua period.
 
Kama kweli vileee
 
Ahsante
Vp kuhusu watu wa jamii forum???
 
Mhhhh me nahisi nitakuwa nayo mengi sana kama ni ivyo
 
Ahsante
Vp kuhusu watu was jamii forum???
Jamiiforum humu tunachat mambo ya kitaifa na kijamii ya kitanzania. Sidhani kama kuna mtu anaendelea na mahusiano zaidi ya kuchat humu tu jamvini. Humu tunapashana habari ndiyo tafauti. Hapa ni salama sana.
 
Jamiiforum humu tunachat mambo ya kitaifa na kijamii ya kitanzania. Sidhani kama kuna mtu anaendelea na mahusiano zaidi ya kuchat humu tu jamvini. Humu tunapashana habari ndiyo tafauti. Hapa ni salama sana.
Lakn s kuna jamvi LA mapenz ushaur na mahusiano???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…