Nimechanganyikiwa mechi ya Leo usiku Kati ya PSG na Arsenal

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Yani Mimi siyo mashabiki WA hizi timu mbili ila naziombea zote zishinde. Ndo hap leo nachanganyikiwa.

Naipenda Arsenal kwa sababu ya da Nifah. Arsenal ikifanyaga vizuri anafurahi na wote humu tunafurahi. Arsenal ikifanyaga vibaya huwa anahuzunika Na wote humu tunahuzunika.

Naipenda Pia PSG kwasababu ya mmiliki wake Nasser Al khilaifi. Huyu jamaa WA Qatar amewekeza hela nyingi kwenye hii club oli ichukue UEFA champions league. Mwaka 2021 Karibu PSG ichukue ilipofika fainali Na kushindwa Na Bayan. Ndoto Yake PSG ichukue UEFA .

Yani nimechanganyikiwa.

Nyau de adriz
 
Mm nashauri zote zishinde na wagawane kombe likatwe nusu kila timu ipewe kipande
 
Yani Mimi siyo mashabiki WA hizi timu mbili ila naziombea zote zishinde. Ndo hap leo nachanganyikiwa.

Naipenda Arsenal kwa sababu ya da Nifah. Arsenal ikifanyaga vizuri anafurahi na wote humu tunafurahi. Arsenal ikifanyaga vibaya huwa anahuzunika Na wote humu tunahuzunika.

Naipenda Pia PSG kwasababu ya mmiliki wake Nasser Al khilaifi. Huyu jamaa WA Qatar amewekeza hela nyingi kwenye hii club oli ichukue UEFA champions league. Mwaka 2021 Karibu PSG ichukue ilipofika fainali Na kushindwa Na Bayan. Ndoto Yake PSG ichukue UEFA .

Yani nimechanganyikiwa.

Nyau de adriz
Wewe ni SIMP,ungekua Mombasa umeshaolewa
 
nitumie app gani kuiona kwenye simu??? hii mechi nzur sanaa
Tumia hizo
Screenshot_20250429-230010.jpg
 
Back
Top Bottom