Usikose amani,wataalamu wapo watakupa maelekezo nini cha kufanya,kuna dawa ambazo utapaswa kutumia na unaweza rudi kwenye normal,sina utaalamu sana wa kitabibu kuhusu hilo ila nina rafiki aliyekuwa na tatizo hilo ambapo baada ya kutumia hizo dawa moyo wake ulirudi kwenye hali yake ya kawaida,pole and don't panic also don't forget to pray for your condition,it's the best cure ever.