Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

yaaa utakaaje na mchumba miaka miwili eti kuna wanaume pembeni wanakutaka na wewe unawatosa?
ndo ivo ata kama umepata mti mmoja heshimu misitu

NI MDA GAN WA KUKAA NA mchumba?

ni haki kuwakubal wanaume wakikutongoza wakat una mchumba tayar?

kuheshimu misitu ni kwa kuwapa dudu?
 
Ahsante mpenzi. . .
Siunajua tena wabongo.Kazi kulaumu hata pasipo lawama.

Poa kabisa sema tulikumiss humu, sijui ulikua umefichwa wapi.
Hehehehe hajambo, bado anakoroma.
 
Haba na haba huzaa mahaba.
OTIS
 
duu....akuna kitu xpensive km UELEWA.BUSARA NA HEKIMA.....kwasababu vinamfanya mtoto mdogo akawa mkubwa na mtu mkubwa.mtumzima akaonekana km mtoto mdogo.

nawasilisha.
 
Ahsante mpenzi. . .
Siunajua tena wabongo.Kazi kulaumu hata pasipo lawama.

Poa kabisa sema tulikumiss humu, sijui ulikua umefichwa wapi.
Hehehehe hajambo, bado anakoroma.

haa haa spatii picha mkoromo wake NN dahh...!!!!!!!!!!
 
Kwa hali kama hii hakyanani mtu unaeza jikuta unageuka al shabaab bila kupenda aisee! Unawatafuta wote alafu unawakata mbuutu zao,,, munisamee ila thats my wish kwa sababu sioni adhabu nyingine inayowafaa!!! Aaagrrrrrr
 
Kakondoo unahitaji sala ya kukuweka mbali na mijamaa ya aina hiyo. . . nione baadae.
 
Hahahaha. . . we Rose hujatulia wewe. Lazima utakua umeenda shule ehhhh?

shule nimeenda dada ...head masta wangu alikuwa NN
pia alinifundisha mwandiko na somo la dictionary..haha hha nimemmisi jaman......sijachambwa kitambo....:eyebrows:
 
Kakondoo unahitaji sala ya kukuweka mbali na mijamaa ya aina hiyo. . . nione baadae.

Hawa watu sasa ni too much, lijamaa lina mke lakini bado tu linang'ang'ana huku na huko! Lilishindwa nini kuondoka mapema?? Tungekuwa tunawacharanga mapanga hawa wanabaki flat wasingeendelea kabisa!!! Dunia ingekuwa yangu mie watu kama hao wangeisoma namba!!!
 
NI MDA GAN WA KUKAA NA mchumba?

ni haki kuwakubal wanaume wakikutongoza wakat una mchumba tayar?

kuheshimu misitu ni kwa kuwapa dudu?
wewe unaonaje? kuna uchumba wa miaka 2 kweli huo lazima uzae zinaa
 
shule nimeenda dada ...head masta wangu alikuwa NN
pia alinifundisha mwandiko na somo la dictionary..haha hha nimemmisi jaman......sijachambwa kitambo....:eyebrows:
Hahahah. . . alafu mi kichwa maji kweli. We najua umeenda shule Rose, nilitaka kuongelea mkoromo wa NN nikakoroga.

Hahahahaha. . . baadae njoo chit chat kuna umbea kule full kushushuana.
 
polee sanaa ndugu...ila moyo wa m2 nivigumu kuujua,kama kwelii huyo mwengine alikuwa anakupenda kwa dhati na kutokaa moyoni haina shida,ilaa sisi wanaume wengi wetu ni ngumu sanaa,maana unafikiriaa vingi,hivii huyu mwanamke kipindi na mpendaa na muitaji alinikataa kwa sababu ya mwanaumee flani,leo kapigwaa mimbaa ndo ananitakaa,so anaweza kuonyesha all the care mwazo ilaa baada ya kumegaaa tundaa mara kazaa akaingia mitini,yaitajikaa busaraa kwenye maamuzi yako sanaa,mi ushauri wangu ningekwambia wangapi ni ma single mumy na wanamaisha mazurii na amani.ushauri wa kunywaa sumu sio solution,pigana na hiyo rohoo na uishinde,we mpotezee huyo mwanaume.je yeye amekubali kwamba ana mkee?je uko radhi kuwaa nyumba ndogo yake?je utatakaa kuumizwaa tena na hao wanaume wengine?tumia busaraaa kufanyaa maamuzi
Nashukuru sana The Boss itabidi nifanye hivyo ila ni rahisi mwanaume kukubali mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine?
 
I know kakondoo, wanatia hasira sana. Sema ndio hivyo tena wapo na wataendelea kuwepo, kazi kwetu kuwakwepa.
 
duu....akuna kitu xpensive km UELEWA.BUSARA NA HEKIMA.....kwasababu vinamfanya mtoto mdogo akawa mkubwa na mtu mkubwa.mtumzima akaonekana km mtoto mdogo.

nawasilisha.

Uelewa wa kudanganyana na kuzidi kuhamasishana kwenye zinaa? akapime UKIMWI, kwa dunia ya leo? kama kaweza kupata mimba nje ya ndoa na mwanamme ambae mzinzi kama yeye, kinachozuwia uwezekano wa kuwa kaambkizwa UKIMWI ni nini?

Kwanini hatupendi ukweli?

Kwanza akapime kama kauingia au bado, haya maneno ni ya busara sana kwa mwenye uelewa, fikiri chukuwa hatua.
 
ulikuwa unawakataa kwani huyo alikuwa mumeo? ona sasas ungekuwa unae wa pembeni usingepata shida
usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja

yaani smile mdogo wangu una vi2ko sana wewe, nilikuwa cna mpango wa kuingia humu nilivyoona hii ilibidi 2 nizame, kadadaa anataka kuharibu kabisa, eti mwanaume mwingine amkubalie ku2nza mimba ya mwanaume mwenzie? yaani usotewe ndani ya miaka 2 then aje akutunzie cha mwingine?....wadada wa cku hzi kazi mnayo, hivi baada ya miaka 2 ndio unagundua jamaa ana mke, hajawahi kukupeleka kwake au mke yupo kjjn au ulifanyiwa ujanja wa mjini?.....
 
I know kakondoo, wanatia hasira sana. Sema ndio hivyo tena wapo na wataendelea kuwepo, kazi kwetu kuwakwepa.

Nimeshindwa hata kumshauri dada wa watu jamani, ngoja kwanza nitulie, ntakutafuta b'dae mama mchungaji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…