Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

wewe unaonaje? kuna uchumba wa miaka 2 kweli huo lazima uzae zinaa


huo ni uchumba 2 achia mbali muda wa ugal/byfnd....mie nimekuekewa kabisa....miaka 2 ni mingi then unakuja kubwagwa
 
huo ni uchumba 2 achia mbali muda wa ugal/byfnd....mie nimekuekewa kabisa....miaka 2 ni mingi then unakuja kubwagwa
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?
yaani wanawake akili hatuna
 
habari ndo hiyo,na sio utani its a fact,inshallah one day we will get to know each other,you will see my watoto's na ninawalea mwenyewe.

Kamanda ebu nikumbushe, yule mtt jirani yetu uliyezaa na yule dada! ulinambia ni mtt wako wa 13 vile? vipi ameshasimama? au anamdogowake sasa?
 
Nimekosa hata cha kuchangia maana nashindwa kuelewa
Unaweza ukakaa na mtu for two years hujui anapoishi??
Au hata ndugu yake mmoja na umechukua risk ya kufanya mapenzi
bila kinga mpaka unapata mimba??? SIJAELEWA KABISA
 
Nimekosa hata cha kuchangia maana nashindwa kuelewa
Unaweza ukakaa na mtu for two years hujui anapoishi??
Au hata ndugu yake mmoja na umechukua risk ya kufanya mapenzi
bila kinga mpaka unapata mimba??? SIJAELEWA KABISA
wewe si ndo huwa unatetea je kukaa na mchumba mmoja miaka miwili mizima? upuuuzi mtupu
 
Pole sana Msichana,

Mshirikishe Mungu kwenye masuala yako,

Usije toa hiyo mimba wala kudhuru maisha yako,

Mtu yoyote ambaye anatakakukuoa anatakiwa ajitambulishe nyumbani na msishiriki tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa,

Kwa sasa achana na huyo jamaa na wala usimchomekee mwanamume mwingine,matatizo yatakuwa ni hayo hayo.

Uanze maisha upya na BWANA.
 
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?
yaani wanawake akili hatuna

na boyfnd/galfnd muda gani ndio uone hapo hakuna muelekeo? huwa nashangaa m2 anakuwa na bfrnd kwa 4 yrs( mtoto anaanza skul hapo eti).... na hakuna dalili za kueleweka...geez mie nicngeweza.....1 yr inatosha sana kusoma map inapokupeleka.
 
pole sana dada achana kabisa na watu wanaokushauri utoe mimba hawana utu hao, kwani unaweza kupoteza maisha kwa bleeding,unaweza usizae milele na wengi tumeona walikuwa mabingwa kuzitoa baadaye wakaolewa wakataka kuzaa hawakupata kitu,ile damu itakulilia maisha yako na hautakuwa na furaha juu ya hatia hiyo,unajuaje ndo mtoto pekee Mungu alikupa.
 
Usinywe sumu ya panya, jinyonge tu. Unasema hujawahi kucheat kwa kuwa unamuamini!!!!! Kwa hiyo that is the only reason? Ok then, yeye amekucheat kwa kuwa hakuamini, that is it.

Ungekuwa umechanganyikiwa usingeweza kujieleza kwa ufasaha namna hii.

Wewe ni fukunyuku km mafukunyuku wengine, Najua utanichukie, so as other emotional driven dunks lkn mimi naangalia dhamira zako na yanayokukuta. Hebu angalia hii statement yako: sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani. Mimi nilidhani hutaki kufanya abortion kwa kujali uhai wa mtoto wako, kumbe ni kwa woga wa kuharibika mwili ukashindwa kufanya tena ngomo. Mimi sioni why it should not happen to you again and again until you came to your senses. What a selfish woman.

Face the facts, songa mbele. Achana na watu wanaoku-sweet-talk kwa kuendekeza hisia. Hisia ziliishia kitandani, sasa hivi ni uhalisia.
 
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?
yaani wanawake akili hatuna

Kwa hiyo tangu uanze na hizi fast-track (za wiki 2 mbili) umeshafanikiwa. Ukikutana na mwanaume anayenunua bidhaa bila kutest naye lazima atakuwa na matatizo yake. Ndio baadae mnaanza kutujazia mada za malalamiko hapa,...ooh anamimina tripu moja analala...mara ooh, kumwamsha mpk ukaazime vitu vya siri kwenye video library
 
Latifa malipo ni duniani ulikula pesa na vocha za msela wangu yeye alikuwa na mpenzi ya dhati kwako mwisho wa yote ukampiga kibuti kuwa umepata wa umpendae.sasa inakuwa vpi kubali uwe mke mdogo.tatizo aukufanya upelelez ata kwa marafik kuhusu mtarajiwa wako au hata ndugu zake may be yasingekupata haya.pole
 
Huu sio wakati muafaka kwako kuchagua mtu, chill kwanza unaweza kuangukia kwenye matatizo tena nakushauri uzae mtoto then ndio uamue utakuwa na yupi kati ya hao second best.
 
Ingia front hadi kwa mkewe, kama mbwai na iwe. mweleze, Wanawake wengine kwa kujua kosa si lako bali la mumewe , anaweza kukupa msaada mkubwa wa nini cha kufanya na ukafarijika sana - amini wapo wa namna hiyo.
 
Njia ipi aoneshwe zaidi ya kwenda kupima Kama hajaachiwa ukimwi? Kwani wazee wake walikuwa hawamfundi kuwa zinaa mbaya? Kwanza akapime halafu alee mimba yake ya uzinzi. Umsaidie nini hapo? Kamlee basi yeye na mimba yake. Afanye upupu halafu aitangazie dunia? Ndio hayo ya kunga'twa na mbwa ukatangaza kidonda.

we nae, kwani wanandoa hawapati ukimwi, hoja hapa sio ukimwi ni hiyo mimba aliyopata
 
nitatumia maneno makali kidogo katika kushauli.

hivi ni kwa nini watu hawajifunzi? yaani mtu una mimba..aliyekupa mimba na akakuahidi ndoa ana mke wake .......halafu bado hapo ukiwa hata bado hujajifungua tayari unasema ''kuna mtu mwingine ananitaka je nimkubali?''huu ni upumbavu ....kwa hiyo huyo mwingine umeona tayari anafaa?..je na yeye akiwa na mke?....

halafu unawaza kutoa mimba!! hayo mawazo ondoa kichwani...kaa tulia, subiri siku zifike..nenda ukajifungue...lea mtoto wako....lakini pia kama umehakikisha huyo bwana ana mke,je ni yeye ndiye aliyekuonyesha? kama jibu hapana, nenda ukamuulize...

mnakaa uchumba mda wote huo halafu hujui kama mwanzako ana mke? haya ndo niliwahi kusema humu Cyber marriage itaua wengi........
 
Uelewa wa kudanganyana na kuzidi kuhamasishana kwenye zinaa? akapime UKIMWI, kwa dunia ya leo? kama kaweza kupata mimba nje ya ndoa na mwanamme ambae mzinzi kama yeye, kinachozuwia uwezekano wa kuwa kaambkizwa UKIMWI ni nini?

Kwanini hatupendi ukweli?

Kwanza akapime kama kauingia au bado, haya maneno ni ya busara sana kwa mwenye uelewa, fikiri chukuwa hatua.
Wee mshamba ngoja nikutolee uvivu aliekudanganya wanaofanya ngono ndani ya ndoa hawapati ukimwi ni nani au niushamba wako unakusumbua na unajuaje Latifaa kama kashapima ukimwi au hajapima kama wewe umeathirika unazani kila mtu ni muathirika mwenzio, shuwain!
 
Latifa usiogope wala usiwaze kujiua wala kutoa mimba, ila nakushauri uachane na huyo jamaa kabisa yaani kama unavyosema milele iwe milele kweli hata kama anajua unamimba yake usijali maana huyo sio mtu ni mnyama kama asingekuumiza kwa hili angekuja kukuumiza kwa lingine.

usitoe mimba kama huna mtoto kwani mtoto ni bonge la dili kwenye maisha sio watoto wote wanaoishi na baba zao ndio wenye raha kuna watoto kibao nawajua wana baba zao pamoja na mama ila hawapati hayo mapenzi ya baba wala wanawake wote wanaoishi na wanaume wanapata mapenzi ya ndoa, omba mungu akujalie ujifungue salama usijali maisha yatakavyokua hata yakiwa magumu kiasi gani na huyo jamaa ana hela kiasi gani achana nae hakuna mtu aliewahi kufa kisa ni umaskini.
wazo la mwanaume mpya kama mpenzi kwa sasa ondoa muwaze mtoto wako tuu ila mabuuuzi usiyapoteze sawa ee?
 
usikate tamaa kiasi hicho mpendwa maisha bila yeye yanaenda lea mimba,olewa na mtu mwenye kukubali ukweli
 
Back
Top Bottom