Nimeshindwa hata kumshauri dada wa watu jamani, ngoja kwanza nitulie, ntakutafuta b'dae mama mchungaji!!
wewe unaonaje? kuna uchumba wa miaka 2 kweli huo lazima uzae zinaa
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?huo ni uchumba 2 achia mbali muda wa ugal/byfnd....mie nimekuekewa kabisa....miaka 2 ni mingi then unakuja kubwagwa
habari ndo hiyo,na sio utani its a fact,inshallah one day we will get to know each other,you will see my watoto's na ninawalea mwenyewe.
wewe si ndo huwa unatetea je kukaa na mchumba mmoja miaka miwili mizima? upuuuzi mtupuNimekosa hata cha kuchangia maana nashindwa kuelewa
Unaweza ukakaa na mtu for two years hujui anapoishi??
Au hata ndugu yake mmoja na umechukua risk ya kufanya mapenzi
bila kinga mpaka unapata mimba??? SIJAELEWA KABISA
wewe si ndo huwa unatetea je kukaa na mchumba mmoja miaka miwili mizima? upuuuzi mtupu
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?
yaani wanawake akili hatuna
unaona eeeh mimi uchumba max ni wki 2 na hamna kusex sex ni tendo la ndoa kama mtu hasomeki unasepa sasas miaka miwili upo na mwanaume mmoja tena mnangonoka kwa kwenda mbele ni mumeo?
yaani wanawake akili hatuna
Njia ipi aoneshwe zaidi ya kwenda kupima Kama hajaachiwa ukimwi? Kwani wazee wake walikuwa hawamfundi kuwa zinaa mbaya? Kwanza akapime halafu alee mimba yake ya uzinzi. Umsaidie nini hapo? Kamlee basi yeye na mimba yake. Afanye upupu halafu aitangazie dunia? Ndio hayo ya kunga'twa na mbwa ukatangaza kidonda.
Wee mshamba ngoja nikutolee uvivu aliekudanganya wanaofanya ngono ndani ya ndoa hawapati ukimwi ni nani au niushamba wako unakusumbua na unajuaje Latifaa kama kashapima ukimwi au hajapima kama wewe umeathirika unazani kila mtu ni muathirika mwenzio, shuwain!Uelewa wa kudanganyana na kuzidi kuhamasishana kwenye zinaa? akapime UKIMWI, kwa dunia ya leo? kama kaweza kupata mimba nje ya ndoa na mwanamme ambae mzinzi kama yeye, kinachozuwia uwezekano wa kuwa kaambkizwa UKIMWI ni nini?
Kwanini hatupendi ukweli?
Kwanza akapime kama kauingia au bado, haya maneno ni ya busara sana kwa mwenye uelewa, fikiri chukuwa hatua.