Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

Kaka ata mimi ninae wa dizaini hiyo nipo nae mwaka wa tatu najitafunia taratibu na jinsia yake
ya kiume hafanyi kazi ila kunakipindi inastuaka inasimama ila haina nguvu sana kama ya mwanume kamili

du!mkuu haugopi?hiyo ki2 siku ikija kustuka sana inaweza ikakung'ang'ania na wewe!
 
Dah, ukisikia mtihani ndo huu
 
mkuu mvizie kalala alafu piga picha uzimwage jukwaani ili tukushauli vizuri unaweza kukuta hili ni tangazo la biashara.
 
kaka mi nakushauri kwa suala hili km ni serious lipeleke kwa viongoz wa dini yko uone watakupa msimamo gan coz humu ktk JF kuna mijitu hata haijielewi,watu wanastress za kukosa kaz na wengine wanauchiz wao wa asili wanaweza wakakushauri utumbo ukamkosea mke wako heshima.so plz zingatia hili.
 
kama ya kike inafanya kazi na ya kiume iko domant, endelea kula raha na mkeo. kama zote zinafanya kazi, nahisi hicho kitu huwa hakipo, lazima moja iwe domant, lakini sijui, ila kama zote poa, achana naye. kama ya kiume inafanya kazi na ya kike iko domant, basi yeye anakupenda sana, jiandae kuliwa na wewe, ulidhani utakula tu. jamani, muwe mnatest kabla. wengine hazipo kabisa. unajiolea tu. siku hisi hata magari mengi hayana engine.
 
Huyo jamaa alifanya makosa kununua mbuzi kwenye gunia!Ni kweli si vizuri kufanya hicho kitu kabla ya ndoa,lkn linapokuja suala kama hili ndo unaona umuhimu wa kujua ndani ya gunia kuna mbuzi kweli au **** fidi kabla ya kufika neo.Lkn pia jamaa aweke waxo kama jinsia ya kiume infunction,maama mwisho ataolewa yeye na atanyamaza kimya!:shock:
 

Mwambie ajihadhari naye isije siku moja ikawa zamu yake kugawa uroda
 
Pole sana, kwanini aliamua kubaki nazo zote hadi mkubwa au alikuwa anazitumia zote? Kama kumuacha huwezi basi oongea na mkeo afanyiwe operesheni atoe jinsia ya kiume abaki na ya kike....
 
Yan jamaa hata hukuisshikaga kabla ya ndoa? Dah...pole lakini hyo ya kiume c haina effect? We endelea na kazi au kama unataka mpeleke akafanyiwe surgery kenya au india bt ni kinda expensive. Andaa kama roughly millioni 15
 
Du balaa !! lakini mi naona uyo bi mkubwa mwenyewe alikuwa mtata toka mwanzo,
ye alijijua kuwa yupo hivo toka mwanzo na ndo maana akawa anabana kutoa mzigo.Hii ndo ilinifanya nimgonge mama yenu kabla kwa kuhofia kuuziwa mbuzi kwenye gunia, ilileta maana na ndo maana bado nadunda nae tu !!!
 

mwambie jamaa ageuze ndoa iwe 'DUO CORE',
itapendezaje?
 
he he mpe pole aisee....mwambie achunge asije akageuzwa
 
si umemuoa siku naye atakusaidia ukichoka
 
mmmh mpe pole sana, nenden kwa doctor atawasaidia
 

Kaka ukisikia misalaba ktk maisha ndo hiyo,kwa hapo sijui hata dini inasemaje ukikutana na mambo kama hayo,ila kwangu mimi na ushauri wangu kwako,jaribu kukaa na huyo mkeo mjadili kuhusu hiyo issue ujue ni upande upi kwake una nguvu au unafanya kazi,inawezekana hiyo ya kiume haina kazi,lakini kama inafanya kazi hapo ujue una hatari na jaribu kutafuta suluhu ya kuvunja ndoa,maana ipo siku utalala usingizi na kufanyiwa mambo mabaya,ndo maana vijana wa siku hizi huamua kufanya kweli kwanza kabla ya ndoa.
 
Kaka haya matatizo yapo. Wakulaum ni wazazi waliomlea, kwa nini waliamua kumwacha? Ila nakushauri, jaribu kwenda Hosp kama KCMC manake wanafanya hizo operation. Kwa mtu mzima sijui kama inakuaje na garama zikoje! But waone wataalamu wa afya. Pole sana Mkuu
 
Hii thread inachochea ngono kabla ya ndoa. Mbona mabinti watakoma!
 
Shtuka usingizini wewe,utakuja kuliwa tiGO na "mkeo"
 
Hii thread inachochea ngono kabla ya ndoa. Mbona mabinti watakoma!

Sio lazima ngono lakini kiukweli "kufahamiana" kabla ya ndoa ni muhimu sana kwa sababu unapata fursa ya kufanya masahihisho pale ambapo ulikuwa unakosea. Kwa mfano hiyo hali aliyokumbana nayo jamaa ingeweza kuepukika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…