KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Kwa hiyo haiwezekani, au hamna kitu kama hicho maana hata mimi nilishindwa kuamini
nataka kujua haiwezekani kisayansi ili niamini kuwa huenda ni sayansi ya GIZA
Inawezekana sana mtu kuwa na jinsia mbili, na imeshatokea sana ulimwenguni mwote. Wanasema mambo ya gene mutation sijui, sina utaalamu sana nayo. Na wakati mwingine unakuta hana jinsia zote, au ana kitobo tu.
Cha kufanya ni kujua ipi kati ya hizo mbili iko functinal i meam active, km ni ya kiume basi imekula kwake km ni ya kike maisha yanaendelea. Watafute DR Bingwa afanyiwe uchunguzi then hyo ka kiume iondolewe.