Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

Kwa hiyo haiwezekani, au hamna kitu kama hicho maana hata mimi nilishindwa kuamini
nataka kujua haiwezekani kisayansi ili niamini kuwa huenda ni sayansi ya GIZA

Inawezekana sana mtu kuwa na jinsia mbili, na imeshatokea sana ulimwenguni mwote. Wanasema mambo ya gene mutation sijui, sina utaalamu sana nayo. Na wakati mwingine unakuta hana jinsia zote, au ana kitobo tu.

Cha kufanya ni kujua ipi kati ya hizo mbili iko functinal i meam active, km ni ya kiume basi imekula kwake km ni ya kike maisha yanaendelea. Watafute DR Bingwa afanyiwe uchunguzi then hyo ka kiume iondolewe.
 
kuna raha yake, 2 in 1, amazing

mnamnyapaa kusema akatwe, kwani kama yeye haoni shida kuwa nazo 2.
Cha muhimu kama ameamua kujiita mwanamke ile jinsia ya kiume isiwe active asije mdhuru mmewe tu.
 
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere
kadhaa vya kidini ambavyo kiukweli vilinifanya nitulie. Baada ya kufunga ndoa ndipo nimekutana na
hili balaa, mke wangu ana sehemu zote mbili yaani ya kike na ile ya kiume, sijui nifanye nini na sasa ni
siku ya saba toka nifunge ndoa, kweli sina raha......."

Ni maelezo ya (X) ambayo amenipa juzi, kweli nimemsikitikia lakini nimeshindwa kumshauri ingawa
ingekuwa upande wangu ningemuacha huyo mwanamke.

kama sehemu zote zinafanyakazi jiandae kuliwa kiboga.
 
Hili ni tatizo! Jamaa inabidi siku zote alale na jeans tena afunge na mkanda. Vinginevyo waif akisimamisha na jamaa akiwa amelala...,
 
Mpe pole sana. Binafsi kwasababu anazo mbili hilo tu linatosha kututenganisha, kwani hata phsychologicaly nitaathirika nikiendelea kuishi na mtu mwenye jinsia mbili.
 
Msiwatenge, si ugonjwa huo.

Mpe pole sana. Binafsi kwasababu anazo mbili hilo tu linatosha kututenganisha, kwani hata phsychologicaly nitaathirika nikiendelea kuishi na mtu mwenye jinsia mbili.
 
hao watu wapo wanaitwa hemaphrodites yote ni majaliwa ila ina onekana mkeo genes za kike zina nguvu zaidi ya za kiume ndo mana hukuweza kumfananisha na mwanaume naskia kuna wengine hua wanafanyiwa operation kubakiza jinsia moja pia inasemekana mwanamziki CIARA alizaliwa na jinsia mbili so ni kawaida
 
HEMAPHRODITES ni rare phenomenon ambayo inatokea. Kuan mwana dada wa South Africa ambaye alikuwa kama hivyo. Lakini kwa kufanya Genetic Evaluation waweza uka determine ni sex ipi ni dominant. Isipokuwa kama ni super human. Mwanamume ana XY sex chromosomes na wanawake wana XX. Sasa by freak of nature wapo ambao ni XXY(SUPERHUMAN)

Kama anatokea mwanadamu mwenye jinsia zote basi anafanyiwa genetic evaluation na surgery kuachiwa ile dominant sex part.

This is a very crude explaination.
 
Kama ya kiume inafanya kazi cha kufanya unasubiri mpaka isimame halafu unawahi kuivunja huyo sahau kamwe hata simamisha milele utaendelea kupiga kitumbua

Mmh, mwenzetu naona umebobea ktk mambo haya! Unaelezea kama vile ulishawahi kukutana na issue kama hii!
 
Pole sana kwa mhusika...aombe hekima ya Mungu tu,watafute washauri,wajadiliane,naamini watafikia muafaka mzuri...shocked!!
 
Mmh, mwenzetu naona umebobea ktk mambo haya! Unaelezea kama vile ulishawahi kukutana na issue kama hii!

Hapa hamna njia nyingine maana mtoa mada ameshindwa kueleza hasa ipi iko active, kwanza kama ya kiume ndo inafanya kazi asilale naye kabisa atageuziwa kibao yeye
 
kwa upande wangu.Mpe pole kwani ni jaribu zito sana kwa mwanaume pia mwanamke.Mi siyo mtaalam but hata akimwacha hataruhusiwa kuoa mpaka huyu atakapochukuliwa.
 
hao watu wapo wanaitwa bisexual yote ni majaliwa ila ina onekana mkeo genes za kike zina nguvu zaidi ya za kiume ndo mana hukuweza kumfananisha na mwanaume naskia kuna wengine hua wanafanyiwa operation kubakiza jinsia moja pia inasemekana mwanamziki CIARA alizaliwa na jinsia mbili so ni kawaida

hujui bisexual ni nini?????????????????????
 
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere
kadhaa vya kidini ambavyo kiukweli vilinifanya nitulie. Baada ya kufunga ndoa ndipo nimekutana na
hili balaa, mke wangu ana sehemu zote mbili yaani ya kike na ile ya kiume, sijui nifanye nini na sasa ni
siku ya saba toka nifunge ndoa, kweli sina raha......."

Ni maelezo ya (X) ambayo amenipa juzi, kweli nimemsikitikia lakini nimeshindwa kumshauri ingawa
ingekuwa upande wangu ningemuacha huyo mwanamke.

Maswali haya ni muhimu kuwezesha wasomaji wakushauri:
1. Ulikaa uchumba muda gani na huyo mdada kabla hujamuoa?
2.Ulipogundua ana jinsi mbili baada ya harusi, je mlishiriki tendo?
3. Ndoa mlifungia wapi? Kanisani, ya bomani au ya kiislam?
 
Back
Top Bottom