Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
HILI TATIZO NI LANGU MIMI MWENYEWE.
Yapata mwezi mmoja hivi nimekuwa nikiexperience kitu cha ajabu sana mwilini mwangu nacho ni uwezo mdogo wa kufanya ngono.
Lakini cha kushangaza, hili halitokei kila wakati. Kuna wakati naweza kupiga kazi kama kawaida hadi mimi mwenyewe nashangaa. Kuna wakati mashine haisimami kabisa labda hadi niichezeshe kwenye uke wa mwanamke na ikipata nguvu kidogo nikiingiza tu ndo mashine inapata nguvu lakini sio ile inayotakiwa. Hili limetokea zaidi ya mara 10 ndani ya mwezi mmoja. Lakini kuna kipindi napiga kazi hata kama ninaumwa nakuwa very sensitive.
Siku za nyuma ilikuwa hata nikitongoza tu mashine inasimama. Nikitoka kuamka asubuhi pia mashine inakuwa imesimama, sasa hivi hivyo vitu havipo tena. Hata huo ufanisi ninaousema ni hadi mwanamke avue nguo nione maungo yake nimshikeshike ndo kitu kinasimama. Kiukweli kuna wakati naweza kufululiza hata siku 4 nikichapa lakini ndo hivyo wakati mwingi mashine kusimama ni kwa mbinde.
Nilipoenda Hindu Mandal waliniambia nina BP 130/90 na Cholesterol imezidi kwa 0.5 pamoja Triglyeceride zimezidi sana. Daktari akasema itakuwa hiyo Cholesterol na Triglyeceride zinasababisha nguvu ziwe zinakuja na kutoweka.
sasa basi,
1. Kutokana na hali hiyo ni sawa sawa kuamini kuwa nina Upungufu wa nguvu za kiume?
2. Cholesterol na Triglyeceride zinachangia hilo la upungufu wa nguvu hizo?
3. Nifanyeje ili nirudi katika hali ya kawaida?