Most of Women wanahuruma na kusamehe saaaana. Im among them. Naumizwa then nasamehe kabisa wajameni kha!!
Kabla ya kukusahuri, nikuambie wazi kuwa ukweli ni kuwa sio huyo ulompa mimba anatabia mbaya na uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, bali ni wewe ambaye una tabia mbaya na uwezo wako wa kufikiri uko chini kabisa. Ingekuwa kinyume ya hivyo, usingefanya kufanya ulofanya.Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
aaaaah jamani...imekuwa hayo tena....haya bana! Ngoja nitamtafuta AshaDii...nina uhakika huko nitapata mwaliko!
Weka vizuizi pale kwenye lile bonde la ufa asipite kwisha kazi yake, huwa nasikia anabeba ubwabwa kwenye shati
Ooookay..basi kwa neno lako nitajiandaa.....
Hahaha,me nilitumiwa PM kwamba Rejao kakatwa kidevu so nichangie
hela ya matibabu,ila ilikua kweli aisee

Hiyo itapendeza. Kisha aipeleke kwa demu wake wa ukweli. Hapo so litaisha
Kwenye red lipo IFAKARA -KILOMBERO karibu na Mochwari ya hospitali YA Mt.Francis

Sasa mbona kwenye hii thread most women wamefanya kinyuma na unavyosema!!

Pole sana. Tamaa mbele mauti nyuma.

Tukiongea ule ukweli kabisa, hakika hujampenda hata mmoja wa mabinti hawa zaidi uliwatamani sana. Kama unampenda mtu kweli, utamfanyia ujinga kama huu??? Tusichanganye tamaa na Upendo hata siku moja. Hayo ndo matunda ya tamaa.

Suluhisho si kujinyonga. Ukijinyonga sanasana utakuwa umeongeza tatizo badala ya kupunguza.

Ninachoweza kukushauri ni kwamba jaribu kutumia utu wako wa kibinadamu kuyashinda matatizo kwani matatizo ni ya binadamu kuyashinda na kuyatafutia suluhisho. Wajibika kijna mwenzangu na usikimbie majikumu. Ongea ukweli ili uwe huru. Mweke wazi unayedhani kuwa wampenda. Ajue kila kinachoendele ili naye atoe maamuzi yake. Huenda hata akakusaidia kwa ushauri.

Nasema Acha kuyakimbia matatizo kama vile wewe si binadamu.

lea mtoto huwezi jua Mungu kakupangia nn yawezekana unamwona mzuri akawa sio mke wa ndoa kama unavodhani. usitende dhambi mara 2 mchukue ulompa mimba mlee na usijaribu utoa mimba,wengi waliokataa mimba zao wanajuta kutopata watoto nina mifano ya wengi, tubu dhambi zako,murudie mungu.mtoto akizaliwa utajua kama mwana ni wako mlee na kwa sasa toa matunzo ya mimba