Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

duhhhhh
Mbona hakuutumia..??
Mwambie aurudishe unahitajika haraka..
...

AD hujawahi hudhuria mazishi ya mtu aliyejinyonga..................unaharaka kweli na mnyororo.........mlinzi aliutumia kufungia mabua ya mahindi alipovuna
 
Mkuu vp hukuona hiyo njia ingekufanya uje uandike hii post hapa? hapo itabidi uvumilie ka ulivovumilia ulipokuwa unalima..
Al th best..!
 
Acha kutudanganya kwenye Red hapo bwana, ungekuwa unampenda ungem cheat? Acha mambo yako bana
 
Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge........lea mzigo huo.
 
AD hujawahi hudhuria mazishi ya mtu aliyejinyonga..................unaharaka kweli na mnyororo.........mlinzi aliutumia kufungia mabua ya mahindi alipovuna

nimehudhuria mbili ..

aaaa
huyu mlinzi alituangusha bana
mi nlishajitayarisha kwa mazishi halafu nasiikia bado yuko hai.
mtu anakimbia mimba ambayo hajaibeba ..duuuuuuuhhhh
vipi kuhusu kutunza mtoto sasa kama mimba inamwogopesha hivi..
 
Anaotesha mbegu anakimbia mavuno
 
Mbona Strit Boy yuko kimya au ndio tayari kaishafanya mambo ngoja niwatafute ndugu na jamaa zake
 
<br />
<br />
Jinyonge tu nirithi mrembo mwenye tabia nzuri
 
Nae demu wako wa kweli mpige mimba ili asikukimbie
 
Kajinyonge, uamuzi unao mwenyewe. Usituletee upuuzi wako hapa. Mimba utie wewe halafu uulize watu wakusaidie. Mbona wakati wa kutia na sisi hukutuita tukakusaidia. Nyambaf. Vutu wahed.
 
Mbona Strit Boy yuko kimya au ndio tayari kaishafanya mambo ngoja niwatafute ndugu na jamaa zake

Mhhhh Kajukuu,

Naona kijana wa watu mmemvalia njuga...Hivi akishajinyonga mtakuwa nanyi hamjachaniga % kidogo kwenye hiyo process??

Halafu naona wengine wanatukana mamba wakati hata mtoni hawajafika....

Mhhhh....Ngoja babu akapumzike kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…