Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado bado bana
nenda chini ya hii page utamuona
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kimapenzi-ni-ujanja-au-kaonewa-huruma-tu.html
Mhhhh,
Halafu wewew leo sijui umekuwaje...Tangu lini ulipoteza ile huruma yako??
Kwani watenda dhambi wote tunawaombea death sentence?? Mbona wengine tunawalilia saaana??
Babu DC
Shkamoo babu DC..
HAlafu naomba kuuliza Je
kuna uhakika gani huyu kijana asemacho ni ukweli??
Kwani si kasema yeye??
Msaidieni mwenzenu asijinyonge.
Duh!,.......kweli nyani halioni kundule, hivi na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri? wonders shall never end in JF.Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
Kujinyonga kaomba mwenyewe..
na mimi nampa support zangu..
angekuja kuomba msaada nini cha kufanya tungempa..
kichwa cha thread kinaeleza megi...
Mzee wangu kuna vijana wanasubiri Strit Boy akijinyonga wanaenda kumrithi huyo msichana wakeMhhhh Kajukuu,
Naona kijana wa watu mmemvalia njuga...Hivi akishajinyonga mtakuwa nanyi hamjachaniga % kidogo kwenye hiyo process??
Halafu naona wengine wanatukana mamba wakati hata mtoni hawajafika....
Mhhhh....Ngoja babu akapumzike kwanza
Hiyo support yako imegonga mwamba..Nimem-PM na tumekubaliana kwamba hatajinyonga kamwe!!
Nasubiri aniltelee kajukuu kazuri nikawekee mikono!
Mzee wangu kuna vijana wanasubiri Strit Boy akijinyonga wanaenda kumrithi huyo msichana wake
Be a gentleman Strit boy...huo ndio uanaume...ndio matokeo ya pekupeku na pia kutosoma vizuri alama za nyakati..kwanza jipongeze uko fit..hahaha..mwanaume wa ukweli...you have "eaten" (methali mpya)somebody and made her preg. umekosea kwa wasifu uliomtunuku huyo mpendwa wako..wakati mkiwa mnakula raha..uwezo wake wa kufikiri na vigezo vyote vya kuwa mpenzi alikuwa ame-meet. sasa mambo yameharibika amekuwa disiqualified.......nampa pole..kujinyonga sio uanaume na pia hii inaonyesha ukomavu wako wa kiakili bado kidogo...wangapi wamepata watoto nje ya ndoa na hawakuwahi hata kuwaza kutorokea mbali licha ya hii kujinyonga? sembuse wewe huna hata ndoa..kabiliana nalo kiume...demu wako wa ukweli atakuelewa tuu..
hahahahahahah
haya babu ...lakini kumbuka he is very selfish person anajifikiria yeye tu ..
kwa hiyo mi ningempa na mnyororo kabisa....
umenikumbusha mbali,,. soko mjinga.kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?