Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Mhhhh,

Halafu wewew leo sijui umekuwaje...Tangu lini ulipoteza ile huruma yako??

Kwani watenda dhambi wote tunawaombea death sentence?? Mbona wengine tunawalilia saaana??

Babu DC

Shkamoo babu DC..

Huyu kajiombea mwenyewe death sentence mimi nam support tu..
 
Kwani si kasema yeye??

Msaidieni mwenzenu asijinyonge.

Kujinyonga kaomba mwenyewe..
na mimi nampa support zangu..

angekuja kuomba msaada nini cha kufanya tungempa..
kichwa cha thread kinaeleza megi...
 
Duh!,.......kweli nyani halioni kundule, hivi na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri? wonders shall never end in JF.
 
Kujinyonga kaomba mwenyewe..
na mimi nampa support zangu..

angekuja kuomba msaada nini cha kufanya tungempa..
kichwa cha thread kinaeleza megi...

Hiyo support yako imegonga mwamba..Nimem-PM na tumekubaliana kwamba hatajinyonga kamwe!!

Nasubiri aniltelee kajukuu kazuri nikawekee mikono!
 
Mhhhh Kajukuu,

Naona kijana wa watu mmemvalia njuga...Hivi akishajinyonga mtakuwa nanyi hamjachaniga % kidogo kwenye hiyo process??

Halafu naona wengine wanatukana mamba wakati hata mtoni hawajafika....


Mhhhh....Ngoja babu akapumzike kwanza
Mzee wangu kuna vijana wanasubiri Strit Boy akijinyonga wanaenda kumrithi huyo msichana wake
 
Hiyo support yako imegonga mwamba..Nimem-PM na tumekubaliana kwamba hatajinyonga kamwe!!

Nasubiri aniltelee kajukuu kazuri nikawekee mikono!

hahahahahahah
haya babu ...lakini kumbuka he is very selfish person anajifikiria yeye tu ..
kwa hiyo mi ningempa na mnyororo kabisa....
 
Be a gentleman Strit boy...huo ndio uanaume...ndio matokeo ya pekupeku na pia kutosoma vizuri alama za nyakati..kwanza jipongeze uko fit..hahaha..mwanaume wa ukweli...you have "eaten" (methali mpya)somebody and made her preg. umekosea kwa wasifu uliomtunuku huyo mpendwa wako..wakati mkiwa mnakula raha..uwezo wake wa kufikiri na vigezo vyote vya kuwa mpenzi alikuwa ame-meet. sasa mambo yameharibika amekuwa disiqualified.......nampa pole..kujinyonga sio uanaume na pia hii inaonyesha ukomavu wako wa kiakili bado kidogo...wangapi wamepata watoto nje ya ndoa na hawakuwahi hata kuwaza kutorokea mbali licha ya hii kujinyonga? sembuse wewe huna hata ndoa..kabiliana nalo kiume...demu wako wa ukweli atakuelewa tuu..
 
Mzee wangu kuna vijana wanasubiri Strit Boy akijinyonga wanaenda kumrithi huyo msichana wake

Hao vijana wamesahau kwamba mwosha naye ana zamu yake???

Mwenzenu anapata BP nyie mnachekelea...Subirini zamu yanu...Tena msithubutu kuomba hata maji ya kunywa!!!
 

At least wewe, kwa mbaali kabisa....nimeona ushauri toka kwa mwanamume!
 
hahahahahahah
haya babu ...lakini kumbuka he is very selfish person anajifikiria yeye tu ..
kwa hiyo mi ningempa na mnyororo kabisa....

AD,

Mbona binadamu wote tuko selfishi? Au kosa lake ni kusema tu kuwa binti aliyepata mimba alikuwa ni pozeo tu na hakuwa na vigezo?

Ila mimi ninavyojua, watu wengi hapa duniani tunawatumia wenzetu. Lakini katika mchakato wa kutumiana, wengine wanatoka salama na baadhi wanakuwa majeruhi! Ndo maana hata JK alimpa shavu mshikaji wake baada ya kupata ajali ya kisiasa.

Hii naamini pia ni ajali ya kisiasa kwa upande wa MMU!!
 
ulitegemea nini wewe? unamiliki mademu wawili kwa wakati mmoja halafu unakuja kulalamika hapa .kuna watu hapa jamvini wanakuja kuomba na kutafuta wachumba wanakosa baada ya kuwakosa huko mitaani kumbe ni watu kama nyinyi mmewashikilia wengine wanakosa .nyambafu sako veve!
 
Humwogopi Mungu kwa uzinzi uliofanya? Na bado hiyo mimba unaanza kuipangia mikakati,nahisi unataka kumwambia huyo binti akaitoe. Ole wako mbele ya Mola wako kama utamshawishi akaitoe kisa una mpenzi mwingine unayempenda. Unaweza oa huyo unayethani unampenda(maana ungekuwa unampenda kwa dhati usingemsaliti) na msipate mtoto maisha. Chunga sana kijana. Iogope dhambi kama ukoma.
 
aah kidume hongera sana kwa kazi nzuri ulioifanya, wenzio wanatafuta dem atakayesema ana mimba hawapati we unajinyonga? Tembea kifua mbele dume la mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…