hili soko lipo wapi mkuu? umenishtua....

hahahahaaa!

Arusha kuna masoko mjingaa!

Muulize preta anayajua!
Mbona Dar es salaam masoko mjinga yapo mengi? hasa mitaa ya wadosi kama mtaa wa zanaki karibu na round about ya DTV.Ninachojua soko mjinga lipo Tanga, ila kwa Arusha labda lipo mm sifahamu.

Jamani ishu ya kweli acheni utani
Kaka mbona unakula matapishi yako mwenyewe? wakati anakuvulia chupi na kuchovya hukuliona hilo eti? kama ulikuwa humpendi ya nini kumlaghai dada wa watu? wanaume kama nyie ndo hamtakiwi katika jamii na kama ni kule uarabuni ama uchina wewe ni wakunyongwa tu.Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
Jamani ishu ya kweli acheni utani
jinyongeJamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
kwa hiyo avune mchicha, akauze soko mjingaa halafu akajinyonge?
Kama issue ni ya kweli kajinyonge kiukweli.