Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

hahahahaaa!&lt;br /&gt;<br />
Arusha kuna masoko mjingaa!&lt;br /&gt;<br />
Muulize preta anayajua!
<br />
<br />
Ninachojua soko mjinga lipo Tanga tena ni soko maarufu sana, ila kwa Arusha labda lipo mm sifahamu.
 
kama nakuona siku hiyo wakati unajipinda tena bila condom kwa dem ambae huna hata feelings nae
hivi tunaenda wapi jamani,hatujifunzi? mtu huna mpango nae inakuwaje mnafanya bila kinga? au mlipima?
haya sasa jikaze mwambie mwenzako kabla hajaambiwa na mtu mwingine maana kosa litakuwa juu ya kosa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nasikitika kutangaza kifo cha strit boy kilichotokea leo jioni makongo. habari ziwafikie wana jf wote. kwa wale wanaotaka kufika msibani washukie makongo sec wauluze kwa captain zengo. rip strit boy
 
umekula HG nini mazee? km ulivyokuwa unamega ndivyo fanya hivyo hivyo kwenye kulea!
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
Kaka mbona unakula matapishi yako mwenyewe? wakati anakuvulia chupi na kuchovya hukuliona hilo eti? kama ulikuwa humpendi ya nini kumlaghai dada wa watu? wanaume kama nyie ndo hamtakiwi katika jamii na kama ni kule uarabuni ama uchina wewe ni wakunyongwa tu.
 
huyo wa ukweli mwenyewe utakuta hajawahi hata kukuita mpenzi,,lea mimba yako huyo akupendae
kama angekuwa hakupendi asinge kubebea hiyo mimba
 
jaman ameshajinyonga huyu na msiba uko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa kuwa wewe ni 'strit boy' sasa unataka kutelekeza mimba ili azaliwe strit boy mwingine na miaka michache ijayo tuwe na member wa jf mwenye utambulisho wa 'strit boy jr.'......anyway kusaidia mchakato wa kujinyonga nachangia avatar yangu ka itakuwa na msaada wowote, All the best.
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
jinyonge
 
Jinyonge tu braza vicheche hatuwahitaji duniani
 
Back
Top Bottom