Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Japo comment nyingi zimekubonda (which somehow una deserve) naomba nikupe pole. Hili suala la kuwa na wapenzi wengi ni tabia ya wanaume wengi (hata kama si wote) ila wewe umepatikana leo naona unaonekana kama umefanya maajabu wakati that is how it is. Nakuhurumia. Ongea na mpenzi wako. Mwambie ukweli. Hata akikataa kukusamehe hili tukio liwe ni funzo kwako usirudie kuwa na wapenzi wengi.

Kuna wanawake wana roho za huruma ambao ni wengi tu nadhani kuna chance ya kupata msamaha. Ila ukiniuliza mimi nisingekusamehe aisee. Maishani mwangu sijawahi kuwa na boyfriend cheater ambae na mimi nilikuwa najua anacheat. Nilikuwa sina mjadala na cheater. Mke akikusamehe naweza elewa lakini msichana ambaye anaweza ku move on (hana mtoto, hakuna ndoa wala mkataba why stay with a cheater) na kama anajiamini uwezekano wa kumkosa ni mkubwa.

Take that as a challenge na kama ni kweli umefikia kufikiria kujiua naamini umekoma na hutarudia.
 
nasikitika kutangaza kifo cha strit boy kilichotokea leo jioni makongo. habari ziwafikie wana jf wote. kwa wale wanaotaka kufika msibani washukie makongo sec wauluze kwa captain zengo. rip strit boy

Ha ha ha ha ha na hamu na huo ubwabwa ngoja nijipange sawasawa nije dah
 
Japo comment nyingi zimekubonda (which somehow una deserve) naomba nikupe pole. Hili suala la kuwa na wapenzi wengi ni tabia ya wanaume wengi (hata kama si wote) ila wewe umepatikana leo naona unaonekana kama umefanya maajabu wakati that is how it is. Nakuhurumia. Ongea na mpenzi wako. Mwambie ukweli. Hata akikataa kukusamehe hili tukio liwe ni funzo kwako usirudie kuwa na wapenzi wengi.

Kuna wanawake wana roho za huruma ambao ni wengi tu nadhani kuna chance ya kupata msamaha. Ila ukiniuliza mimi nisingekusamehe aisee. Maishani mwangu sijawahi kuwa na boyfriend cheater ambae na mimi nilikuwa najua anacheat. Nilikuwa sina mjadala na cheater. Mke akikusamehe naweza elewa lakini msichana ambaye anaweza ku move on (hana mtoto, hakuna ndoa wala mkataba why stay with a cheater) na kama anajiamini uwezekano wa kumkosa ni mkubwa.

Take that as a challenge na kama ni kweli umefikia kufikiria kujiua naamini umekoma na hutarudia.

Most of Women wanahuruma na kusamehe saaaana. Im among them. Naumizwa then nasamehe kabisa wajameni kha!!
 
jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
kama kweli ulikuwa unampenda huyo demu wako wa kweli-naamin usingetafuta huyu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri
 
hehehe huyu alitegemea vidada vya JF vitambembeleza asijinyonge, kumbe vidada vyenyewe vya JF vimedata kama waume zao! ndo kwanza vinafagilia jamaa ajinyonge. Dah! imekula kwa mleta sredi aisee!
<br />
<br />
mi nimembembeleza kwa pm.
 
Hili liwe somo kwako kumbe una mchezo mchafu thats very nice tena utubu kwa hiyo tabia yako , dawa ni kumuoa huyo binti uliyempa mimba!
 
we kua muwazi tu ndgu, ngoma si mchezo!!! mbona kwenu mpo 14 lakini baba ako hakujinyonga!!!
 
Aah we jinyonge 2 mana umekaaribia katoto ka watu maisha so bora nawe upotee.na ukumpenda dem wako dats y ukatia mimba sehem tofauti.kaka bora ufe ata leo
 
Kacheki HIV kama huna mrudie GF wako muombe samahani mwambie ulikuwa UMELEWA...........ni viumbe dhaifu hawa
 
Inaonekana amehairisha kujinyonga naona tayari ame edit taito! ule mchango wangu wa mazishi mliochangisha thru PM naomba mnilejeshee kabla sijaripoti kwa mod cookie
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Jamaa bora kaedit taito maana watu walitaka kumla nyama
 
Inaonekana amehairisha kujinyonga naona tayari ame edit taito! ule mchango wangu wa mazishi mliochangisha thru PM naomba mnilejeshee kabla sijaripoti kwa mod cookie
Hahahha..kumbe watu tayari washatumia hii chance kujineemesha?
Jamaa karudi kipole sana..sredi tayari imeshaharibika
 
Jamani wana Jf haina haja yakumshauri akanunue minyororo au nyaya za simu ili eti akajinyonge, mi nadhani mpaka hapo alipo tayari kesha jinyonga coz sidhani kama ameshaenda kupima, tunaogopa mimba na kusahau kuwa na mjomba HIV yupo
USHAURI:Nenda kituo cha afya kacheki afya yako..
 
Umechanganyikiwa mkeo huyo kwanza aibu kuzini kabla ya ndoa nashindwa hata nikusaidiaje ...nikupe mji nenda iringa ntakuletea kamba baadae
 
Back
Top Bottom