Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

Hivi siku hizi bado kunakutengeneza kwanza friendship halafu ndo uanza kutongoza??
 
Guyz thanx 4ur contributions and encouragements.kimsingi niliamua kua straight na kumueleza what i feel to her and she said dat anaye mtu na ndio yule niliyemuona akimshusha kwenye gari na akaniambia straight kabisa bila ya kumung'unya maneno kua pale ndio alikua akimrudisha nyumbani na wana miaka miwili ndani ya relation yao.I wish her al the best and nw nasonga mbele.Thanx wadau and jamii forum forever!
 
tiririka na hii

nitakuwa sifiki nyumbani kwako,haibu iliyonipata nikubwa sana,wee solemba
kekundu,kekundu,kekundu,kekundu
 


Derick you've said the truth
 
Angalia kama ni binti wa type yako.kama siyo achananae,kama ndio funguka bro akujibu ndio au hapana..kama kweli anakupenda atakujibu.Ukweli ni kwamba wanawake wanatabia ya kuweka mapozi hasa anapohisii jambo unalotaka kumweleza.So usikate tamaa,piga simu unapoomba date sio kutuma text.
 
Bingwa ukiona MANYOYA juwa keshaliwa......... angalia pengine

 
tiririka na hii

nitakuwa sifiki nyumbani kwako,haibu iliyonipata nikubwa sana,wee solemba
kekundu,kekundu,kekundu,kekundu

ungenieleza ukweli solemba,kuliko kunidanganya oh oh oh najuta kuitimiza ahadi ambayo siyakweli.hahaha!niko zengekala.r.i.p
 
so sorry umenkumbusha msemo 'if you're unlucky then you are not lucky at all'
 
Tafuta wa ukubwa wa mbavu zako. How big is it. Assume kifaranga kikiwa kikubwa kuliko tetea mvua ikinyesha itakuwaje. Anyway tafuta zaidi ya gari then utapata msaidizi wa kukufariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…