Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

Nimechanganyikiwa!!!wadau naomba mnisaidie...

Hivi siku hizi bado kunakutengeneza kwanza friendship halafu ndo uanza kutongoza??
 
Guyz thanx 4ur contributions and encouragements.kimsingi niliamua kua straight na kumueleza what i feel to her and she said dat anaye mtu na ndio yule niliyemuona akimshusha kwenye gari na akaniambia straight kabisa bila ya kumung'unya maneno kua pale ndio alikua akimrudisha nyumbani na wana miaka miwili ndani ya relation yao.I wish her al the best and nw nasonga mbele.Thanx wadau and jamii forum forever!
 
tiririka na hii

nitakuwa sifiki nyumbani kwako,haibu iliyonipata nikubwa sana,wee solemba
kekundu,kekundu,kekundu,kekundu
 
Wakati wewe unatengeneza friendship.Wengine wanatengeneza relationship.Msichana ukimwambia unataka urafiki tu,anatafuta wa relationship.Baadae akianza kukuambia nna mchumba angu,unaanza.U know nlikupenda,its too late.Inawezekana huyo boy ni ndugu yake,kaka yake,mchumba wake,hatuelewi which is which.ila jaribu kumuuliza.Go straight as a man,utakuta ndege kachukuliwa.u want friendship,another man kam and want relationship.As a man,u shuld be straight with wat friendship u nid to these gals.Mwishon mnawapa wakati mgumu wa kuselect,ukute ana boyfnd,na wewe kama rafiki tu.


Derick you've said the truth
 
Angalia kama ni binti wa type yako.kama siyo achananae,kama ndio funguka bro akujibu ndio au hapana..kama kweli anakupenda atakujibu.Ukweli ni kwamba wanawake wanatabia ya kuweka mapozi hasa anapohisii jambo unalotaka kumweleza.So usikate tamaa,piga simu unapoomba date sio kutuma text.
 
Bingwa ukiona MANYOYA juwa keshaliwa......... angalia pengine

Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na nikawin.nikaamua kupiga second step ili niweze kutamka kilichopo moyoni mwangu bt kila nilipokua naomba appointments alikua ananizungusha na wakati mwingine nilikuwa nikituma nikituma text hazijibiwi ingawa somtyms hua ananikumbukaga.kilichonifanya niandike haya ni jambo lililonikuta leo,wakati niko matembezini mida ya saa moja ucku huku mtaani kwetu gafla nikaona gari ndogo imesimama mbele yangu kama hatua 20 toka nilipo na nilipoifikia tu nikamuona yule msichana ameshushwa kwenye ile gari na nikapata bahati yakumuona aliyemshusha kua nikijana mwenzangu kama mimi sema mm sina gari kama yeye na nilipojaribu kupiga simu yake ilikua imezimwa kwa wakati huo.wadau naomba mawazo yenu.
 
tiririka na hii

nitakuwa sifiki nyumbani kwako,haibu iliyonipata nikubwa sana,wee solemba
kekundu,kekundu,kekundu,kekundu

ungenieleza ukweli solemba,kuliko kunidanganya oh oh oh najuta kuitimiza ahadi ambayo siyakweli.hahaha!niko zengekala.r.i.p
 
Tafuta wa ukubwa wa mbavu zako. How big is it. Assume kifaranga kikiwa kikubwa kuliko tetea mvua ikinyesha itakuwaje. Anyway tafuta zaidi ya gari then utapata msaidizi wa kukufariji.
 
Back
Top Bottom