Nimechanganywa na mapenzi

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
2,079
Reaction score
4,521
Wadau... Nimejichanganya na mwanamke Mweupe wa Kiarabu... Yaani nimeshapishana nae sana.

Nimemkuta sehemu ambazo ni hatari ila bado huniambii kitu.
 
Mkuuu....yule mjamzito Vipi?...

Yule muarabu Alokua ananukia vizuri Hadi...ukampeleka getto...ndo Huyu unamzungumzia ?
 
Kweli tabia ukishaizoea..kuacha ningumu...
Wewe ..lazima utaoa Kahaba tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo ni kujitoa sadaka ya kujimaliza tu liwalo na liwe
 
Muoe tu mkuuu.... Sasa utafanyaje

Bado ananukia vizuri...muulize ANATUMIA perfume gani...umnunulie yule mjamzito
Ushawahi kusikia mtu kasahau familia...

Kuna mzee anaitwa Mwitore sijui. Alitoa ushuhuda.

Yaani siku nilipijichanganya kwa huyu mwanamke nilisahau kama nina mke...

Yaani hadi dada yangu ananiuliza hivi fulani ndio basi? Unaongeaga nae au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…